YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Aliyerusha hiyo Clip unamjua? au chadema wanamjua? ili asaidie polisi uchunguzi?Yule anguko lake ilikaribia ,hata hajashitakiwa na chadema ,ni clip yake tu imemshitaki ,hivi kwenye mikutano ya chadema kwa mfano wahuni walete vurugu OCD kama yule atatoa msaada gani
hiyo video sio ya kutengeneza? ambapo huyo kamanda kawekewa maneno kwenye video huyo?
Chadema wanatakiwa kuwa na ushahidi kwenye hilo kabla kujitosa kichwa kichwa kuliongelea
Vinginevyo askari wengi wataonewa kwa matukio haya ya kutunga kuchukua video kuiunga na kuilisha maneno kama sinema ya kihindi iliyotafsiriwa kiswahili
Chadema hiyo issue watoe ushirikiano kwenye upelelezi wa Polisi na wampeleke huyo aliyepiga hiyo picha na kuisambaza mitandaoni wasisingizie kuwa ni MTU asiyejulikana
Huyi ndie shahidi namba moja wampeleke Polisi