Erythrocyte, kuna ujambazi mkubwa sana unaendelea sirini kwenye akaunti za watu kwenye mabenki. Wakikuta akaunti yako imetabasamu, unaitwa unaombwa kiasi. Ukishebedua unapigwa loki. Halafu inachukuliwa kibabe, ukileta mdomo unaambiwa chanzo chako cha pesa siyo halali kwahiyo kesi ya utakatishaji wa fedha inakuhusu.
Mtakumbuka wiki iliyopita watu wenye akaunti CRDB walishtukia udokozi wa kuanzia elfu 10 hadi 50 na wenginezaidi. Walipopiga kelele wakasema ni mtandao ulikosea wakazirudisha. Huo uhuni HAUKUBALIKI. Siyo kuwa kwasababu ccm inakufa, inapiga mateke masufuria yenye chakula na sisi tufe nayo. SHUJAA LSSU ALIZUNGUMZIE HILI NA AWAOMBE WAPIGA KURA WAKOMESHE HII KITU NA KULIONDOA HILI ZIMWI kwasababu huko tunakokwenda huyu SHETANI akiendelea, tutaishi kama tuko jehanamu. #SasaBasi.