Dogo tuliajuzi tu kaongea na waandishi mara leo tena aisee hiki chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo tuliajuzi tu kaongea na waandishi mara leo tena aisee hiki chama
Hao vichwa maji wanaudhi sana Mkuu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheeeka kwa nguvu
Kwahiyo mtafanyaje?
Kibabu Polepole mbona yuko runingani kila siku kuimba taraabu zake?juzi tu kaongea na waandishi mara leo tena aisee hiki chama
Huyu binti lowasa,ameapa kuwa Lisu akishinda atavua nguo zote.namba siku hiyo niwe nae karibu.ntalipiza matusi yote anayotutukana huku makamanda,ndo huyo hapo kwenye foleni hapo chini.Kama huwa unafuatilia chadema kiasi hiki,kuanzia leo wewe ni rafiki yangu mpendwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni huyo aliebeba sahani kubwa kuliko wenzake?Huyu binti lowasa,ameapa kuwa Lisu akishinda atavua nguo zote.namba siku hiyo niwe nae karibu.ntalipiza matusi yote anayotutukana huku makamanda,ndo huyo hapo kwenye foleni hapo chini.View attachment 1596116View attachment 1596116View attachment 1596116View attachment 1596116View attachment 1596116
Usituletee cha kwenu hapa, 'kidomeke'. Andika kwa kiswahili sanifu.Rekebisha kichwa cha habari kidomeke "MKUTANO WA WATANZANIA WALIOKOSA UZALENDO"
Usituletee cha kwenu hapa, 'kidomeke'. Andika kwa kiswahili sanifu.Rekebisha kichwa cha habari kidomeke "MKUTANO WA WATANZANIA WALIOKOSA UZALENDO"
Analindwa na platoon huyo kwani hujui?Yule anguko lake ilikaribia ,hata hajashitakiwa na chadema ,ni clip yake tu imemshitaki ,hivi kwenye mikutano ya chadema kwa mfano wahuni walete vurugu OCD kama yule atatoa msaada gani
Andika kiswahili hueleweki au we ni mhamiajiAnalinda na platoon huyo kwa hujui?
Me mkimbizi toka mbinguni nimewasili leo toka huko!Andika kiswahili hueleweki au we ni mhamiaji
Basi kama umetoka mbinguni una kichaa kama jina lakoMe mkimbizi toka mbinguni nimewasili leo toka huko!
Mbowe ahusishwa moja kwa moja na vipigo - Hai
Kama huwa unafuatilia chadema kiasi hiki,kuanzia leo wewe ni rafiki yangu mpendwa[emoji28][emoji28][emoji28]
hayo ayawahusu wao wakaombe kura kwa wananchi,kigogo anawadaanganya sana hawa jamaa
Wote mnakaribishwa .
=======
View attachment 1595729
Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za kupigia kura , na njia zilizotumika kuipata na labda na washindani iliyochuana nao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama hana Chura[emoji30][emoji1786]
Balaa limeanza
Wote mnakaribishwa .
=======
View attachment 1595729
Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za kupigia kura , na njia zilizotumika kuipata na labda na washindani iliyochuana nao
Nchi imefika tulipopatakaBalaa limeanza