Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kosa liko wapi kuuliza?Id za septemba 2020 zina vituko vyake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa liko wapi kuuliza?Id za septemba 2020 zina vituko vyake.
Kosa liko wapi kuuliza?
huwajui wasanii hao wanapenda tu waonekane na wao wapoSaa 5 ishafika, mmeahirisha?!
Kamanda moto ukate wakati Lissu anapata 79.5%. Acha matusi we kenge.Nasema hivi, hizi id za septemba zina mihemko ya hatari. Ule moto uliingia nao wakati umefungua hii id juzi naona umekata, hii inadhihirisha kiwa kisi@mi kimerudi ndani ya housing, hivyo umetulia baada ya kukojo##zwa.
Mkuu, ili nipate kichekesho kingine kama hiki natakiwa kupiga namba gani?Kamanda moto ukate wakati Lissu anapata 79.5%. Acha matusi we kenge.
Unataka namba yangu?Mkuu, ili nipate kichekesho kingine kama hiki natakiwa kupiga namba gani?
Time management seems to be an issue with these guys.huwajui wasanii hao wanapenda tu waonekane na wao wapo
Chadema ni chama cha kihuni,tangazo linatoka saa saba za usiku,lakini mpaka saa 7 mchana,hakuna cha mkutano wala kongamano
Sasa kama chadema ni chama cha kihuni je yule mgombea wa CCM aliyesema jukwaani anataka sugu amsugue kweli kweli tuseme ni chama cha aina gani?huwajui wasanii hao wanapenda tu waonekane na wao wapo
Chadema ni chama cha kihuni,tangazo linatoka saa saba za usiku,lakini mpaka saa 7 mchana,hakuna cha mkutano wala kongamano
Kazia hapohapo. "We are smelling a very big rat".
Wote mnakaribishwa .
=======
View attachment 1595729
Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za kupigia kura , na njia zilizotumika kuipata na labda na washindani iliyochuana nao
Aibu kubwa sana !Kazia hapohapo. "We are smelling a very big rat".
"Slowly X 2" Je? Mbona yeye kila siku, au vipi?juzi tu kaongea na waandishi mara leo tena aisee hiki chama
Wewe ovyo kabisa kama yule mdingi wako wa kujinyea nyeaMmetupotezea muda tumeacha kazi zetu halafu mkutano wenyewe haupo. Chadema ovyo sana
Kwahiyo mtafanyaje?Kwa kifupi mchakato wa kuchapisha makaratasi ya kupigia kura umeshitukiwa na ni mchakato haramu kwa malengo haramu
Chadema tangu mwanachama wa chini hadi mwenyekiti wenu ni wahuni tu!Sasa kama chadema ni chama cha kihuni je yule mgombea wa CCM aliyesema jukwaani anataka sugu amsugue kweli kweli tuseme ni chama cha aina gani?
Na hamna kitu mtafanya kudadadekiKwa kifupi mchakato wa kuchapisha makaratasi ya kupigia kura umeshitukiwa na ni mchakato haramu kwa malengo haramu
Acha kupanic!Wewe ovyo kabisa kama yule mdingi wako wa kujinyea nyea
Ni katiba ndo imesema serikali isiingilie faragha za watu ,lissu kaelezea katiba ,na akasema usivunje katiba ila badilisheni katiba hiyo kifungu kirekebishwe kama mnataka kushitaki watu ,kama huelewi hapo utakuwa na samadi kwenye kichwa na sio ubongo .Mgombea wenu kasema jukwaani anamwomba sugu amsugue,a very big shame kwa mwanaume kuomba kusuguliwaChadema tangu mwanachama wa chini hadi mwenyekiti wenu ni wahuni tu!
Tena mgombea wenu kathibitisha uhuni wake pale alipowaambia mtakuwa mkifanyiana faragha