CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Kwahiyo mtafanyaje?

Nimekuwa nikikuambia mara kibao kuwa ccm haina uwezo tena wa kushinda kwa kura halali. Hiyo kuchapisha karatasi kwa kificho, lengo ni kufikia ile idadi ya kupika ya wapiga kura 29m+ ambayo sio ya kweli. Na sababu hasa ya kupika data, ni ili kufikia matamanio ya Magufuli kupata ushindi wa 85%+. Bila machafuko na nchi za nje kuingilia kati, ccm itaendelea kutawala nchi hii kwa shuruti.
 
Kama huwa unafuatilia chadema kiasi hiki,kuanzia leo wewe ni rafiki yangu mpendwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Huyu binti lowasa,ameapa kuwa Lisu akishinda atavua nguo zote.namba siku hiyo niwe nae karibu.ntalipiza matusi yote anayotutukana huku makamanda,ndo huyo hapo kwenye foleni hapo chini.
 

Attachments

  • 2584813_IMG_20201009_222817.jpg
    76.4 KB · Views: 1

Mbowe ahusishwa moja kwa moja na vipigo - Hai
 
Yule anguko lake ilikaribia ,hata hajashitakiwa na chadema ,ni clip yake tu imemshitaki ,hivi kwenye mikutano ya chadema kwa mfano wahuni walete vurugu OCD kama yule atatoa msaada gani
Analindwa na platoon huyo kwani hujui?
 

Mbowe ahusishwa moja kwa moja na vipigo - Hai
Saabaya atawapoteza hawa mamluki! Wewe unaingizwa kwenye fani za watu kwa pesa ndogo eti unaenda tu! Huyu jamaa siku Lissu anapigwa mawe hapa Boma, alikua mbele watu wanamwangalia, alafu unaenda kwenye kikao, umafia wa kijinga, amebonyezwa kwenye ukoo, sijui kama Saa-baya atamsaidia kuongeza familia?!!
 
hayo ayawahusu wao wakaombe kura kwa wananchi,kigogo anawadaanganya sana hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…