Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kuliko mipasho inayotolewa na viongozi wa CCM ambao mpaka leo wanaamini nchi hii ni ya wanaccm tu! Hampati maji nyie si mlimchagua mbunge wa Chadema!Barua haijaandikwa ki maadili imejaa mipasho na vifijo
Hakuna mjadala na magaidi.Hawajatumia busara,wangekaa chini kujadiliana
Kuliko kukimbia
Tuondolee ujuha wako hapaBarua ilitakiwa iandikwe na mwenyekiti wa Chadema sio katibu hiyo barua ni batili
Kumbe hata humu watu hawajui uchaguzi Sm Nani anausimamia hahaaaaa
Kwani hapo ni malalamiko au ni majibu yamejibiwa kulingana na barua iliyopokelewa yenye hiyo anuani?Jamani jamani kweli nimeamini ujinga ni mzigo yaani chama cha wasomi kama chadema hamjui kama malalamiko ya uchaguzi wa serikali za mitaa mpeleke kwenye mamlaka gani??? Kweli mnatia hurumaaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Jamani jamani kweli nimeamini ujinga ni mzigo yaani chama cha wasomi kama chadema hamjui kama malalamiko ya uchaguzi wa serikali za mitaa mpeleke kwenye mamlaka gani??? Kweli mnatia hurumaaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hii avatar yako ni movie naomba nikumbushe jina lake tafadhali✌✌✌!
Hii avatar yako ni movie naomba nikumbushe jina lake tafadhali✌✌✌!
Hii ni nzuri sana movieCRITTERS!
wanaomba wawachague ili wakaunde serikali ili wayalete hayo maendeleo sasa bado hawaunda serikali ,serikali imeundwa kutokana na ccmKama ni hivyo kwanini wanawaomba wananchi wawachague kuwa wabunge?
Maneno ya dokta wa kushindia Mihogo??wayachukue maneno yake yatawasaidia huko mbeleni