Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kuhusu kupiga kura hakuna mtanzania ambaye huwa anaipigia kura CCMMwanzo Mzuri.. Ila pesa bado ndogo.. Kulinganisha na umma. Kikubwa nina ona ni ile spirit ya kuchanga... Ukiweza shawishi mtu akuchangie pesa ni wazi ume mshawishi akupigie kura. Sasa usikute pesa yote wana changia diaspora hapo ndiyo kuna Chamgamoto.
WAKIZITUMIA WAJE HUKUHUKU NA KELELE ZAO ZIMEBAKI NGAPINaibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE
Soma, Pia
Tafsiri hapo ni kwamba zitakuwa kura 22150 (0.75%) sababu hakuna anayechangia shilingi 1. Wanaanza 1000 na kuendelea.Kwa dhana hii,geuza huu wastani ziwe ndio kura then weka tafsiri yake.
Na hapo ndipo mnapokosea nyie nyumbu, mnawaza kuchamba tu km wamahe vileKuhusu kupiga kura hakuna mtanzania ambaye huwa anaipigia kura CCM
hio bado hela ndogo sana, sambazeni, fanyeni kamnpeni kwenye mitandao ili watu wachange, tulitakiwa kuwana bilioni si chini ya 5 ndio tuande kuongea. leteni amsha amsha, vipi ninyi?Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE
Soma, Pia
miamala mingi ilikuwa ikirudishwa, je tatizo lilikuwa ni nini? na je limeshughulikiwa?Mwanzo Mzuri.. Ila pesa bado ndogo.. Kulinganisha na umma. Kikubwa nina ona ni ile spirit ya kuchanga... Ukiweza shawishi mtu akuchangie pesa ni wazi ume mshawishi akupigie kura. Sasa usikute pesa yote wana changia diaspora hapo ndiyo kuna Chamgamoto.
Eti wanataka kupata bilioni moja. Ahahahahaha! Tena hapo kajitahidi kweri kweri!Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja
Tumia akili kidogo kufikiri. Hapo ni mwanzo tu wewe unaona kidogo. Njiti moja ya kiberiti huweza kuteketeza msitu.Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja
Kama ni hivyo, basi mabasha wa chama tawala ndio watemi hasa maana kila uchaguzi wanahakikisha wanabaki. Na mwaka huu watahakikisha Uchaguzi Mkuu unafanyika na hakuna basha wa upande wa upinzani Wala mbwa yoyote itayebweka hadi uchaguzi unaisha.Mbona nyie mabasha zenu ndio wanawapa kiburi cha kunajisi uchaguzi na tunawacheck tu?
Ila wewe ndugu wewe una majibu magumu walah tena😆😆😆Mi sijachangia bhana.Sasa hiyo hela si ya kununua luku tu jamani na mafuta ya magari mawili.Wale walikuwa naye kwenye kampen wako wapi!!?Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja
Milion 64 kwa chama cha siasa kama CDM?? Huu ni mzaha!!Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE
Soma, Pia
Hizi mimba changa mlizobeba zinazowafanya mtapike maneno ya shombo mithili ya dagaa bichi very soon mtayatapika au kuwatokea puani!! Muda ni hakimu mzuri sana!Ilikuwa ni mikopo yenye riba isioeleweka kutoka kwa Mwamba.
Alifikiri kuendesha chama ni kutikisa tumbo na lile domo lake pana kama sinia!! Mshenzi sana nimemdharau vibaya sana.Ila wewe ndugu wewe una majibu magumu walah tena😆😆😆Mi sijachangia bhana.Sasa hiyo hela si ya kununua luku tu jamani na mafuta ya magari mawili.Wale walikuwa naye kwenye kampen wako wapi!!?
Umechagua fungu baya sana muda utasema.Haya. subiri uone.
Mwana kulitaka mwana kulipata.Mbona vihela vidogo sana hivyo? Mnajua gharama za kuendesha chama nyie?