GE2025 CHADEMA yalaani askari magereza kumsukuma mwenyekiti Tundu Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
W
​
TAARIFA KWA UMMA​
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, wakati akitoka katika viunga vya Mahakama ya Kisutu.

Tukio hili limetokea baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini kwa mara nyingine tena, ambayo sasa imepangwa kutajwa tena tarehe 13 Agosti 2025.

Hili si tukio la kawaida. Ni tukio la kikatili, la kushtua, na linalodhalilisha utu wa binadamu. Ni hatari zaidi kwa kuwa limefanywa na mtu ambaye, kisheria, anapaswa kuwa mlinzi wa sheria, haki, ulinzi, na usalama wa raia wakiwemo wale wanaokabiliwa na kesi mahakamani ambao bado wanastahili kuonekana kuwa hawana hatia hadi itakapothibitishwa vinginevyo na vyombo vya sheria.

Ni muhimu kuwakumbusha Watanzania wote kwamba Mwenyekiti, Mheshimiwa Tundu Lissu, bado anaendelea kuishi na ulemavu wa kudumu uliotokana na kupigwa risasi 16 katika jaribio la mauaji la Septemba 7, 2017. Kwa msingi huo, aina yoyote ya ukatili dhidi yake si tu kwamba ni kinyume cha sheria, bali pia ni tishio la moja kwa moja kwa maisha yake.

Chadema inatoa wito mzito kwa Mahakama ya Tanzania, kama mhimili huru wa utoaji wa haki, kuhakikisha kuwa tukio hili linachunguzwa kwa kina, na hatua za haraka na wazi zinachukuliwa dhidi ya waliohusika, bila kujali wadhifa wao. Tukio la ukatili ndani ya maeneo ya Mahakama linaathiri taswira ya Mahakama kama kimbilio la haki, na linatishia uaminifu wa wananchi kwa mfumo wa utoaji haki nchini.

Imetolewa leo Almamisi, 31 Julai 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi

Pia soma: VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani​
WKt wa hao maaskari na hao mawakili wa serikali wa kulia na kusaga meno umekaribia. Itakuwa kipindi ambacho huyo waliyemsukuma na kumuangusha atakuwa amiri wao mkuu. Sijui watajificha wapi!
 
​
TAARIFA KWA UMMA​
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, wakati akitoka katika viunga vya Mahakama ya Kisutu.

Tukio hili limetokea baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini kwa mara nyingine tena, ambayo sasa imepangwa kutajwa tena tarehe 13 Agosti 2025.

Hili si tukio la kawaida. Ni tukio la kikatili, la kushtua, na linalodhalilisha utu wa binadamu. Ni hatari zaidi kwa kuwa limefanywa na mtu ambaye, kisheria, anapaswa kuwa mlinzi wa sheria, haki, ulinzi, na usalama wa raia wakiwemo wale wanaokabiliwa na kesi mahakamani ambao bado wanastahili kuonekana kuwa hawana hatia hadi itakapothibitishwa vinginevyo na vyombo vya sheria.

Ni muhimu kuwakumbusha Watanzania wote kwamba Mwenyekiti, Mheshimiwa Tundu Lissu, bado anaendelea kuishi na ulemavu wa kudumu uliotokana na kupigwa risasi 16 katika jaribio la mauaji la Septemba 7, 2017. Kwa msingi huo, aina yoyote ya ukatili dhidi yake si tu kwamba ni kinyume cha sheria, bali pia ni tishio la moja kwa moja kwa maisha yake.

Chadema inatoa wito mzito kwa Mahakama ya Tanzania, kama mhimili huru wa utoaji wa haki, kuhakikisha kuwa tukio hili linachunguzwa kwa kina, na hatua za haraka na wazi zinachukuliwa dhidi ya waliohusika, bila kujali wadhifa wao. Tukio la ukatili ndani ya maeneo ya Mahakama linaathiri taswira ya Mahakama kama kimbilio la haki, na linatishia uaminifu wa wananchi kwa mfumo wa utoaji haki nchini.

Imetolewa leo Almamisi, 31 Julai 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi

Pia soma: VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani​
Utaikuta hata huyo askari ni msaada wa Mungu tuu hiyo Ajira!
 
Huyu askari ni zaidi ya qumer. Hawa wapuuzzo wanapaswa kufahamu kuwa tunaishi nao mitaani. Uvumilivu ukifika mwisho nasi tutaanza kuwashambulia huku mitaani.
 
Ndo maana askari magereza wanavaa matambala usoni ili sura zisionekane, kukwepa kuja kulipwa visasi huko mtaani
 
​
TAARIFA KWA UMMA​
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, wakati akitoka katika viunga vya Mahakama ya Kisutu.

Tukio hili limetokea baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini kwa mara nyingine tena, ambayo sasa imepangwa kutajwa tena tarehe 13 Agosti 2025.

Hili si tukio la kawaida. Ni tukio la kikatili, la kushtua, na linalodhalilisha utu wa binadamu. Ni hatari zaidi kwa kuwa limefanywa na mtu ambaye, kisheria, anapaswa kuwa mlinzi wa sheria, haki, ulinzi, na usalama wa raia wakiwemo wale wanaokabiliwa na kesi mahakamani ambao bado wanastahili kuonekana kuwa hawana hatia hadi itakapothibitishwa vinginevyo na vyombo vya sheria.

Ni muhimu kuwakumbusha Watanzania wote kwamba Mwenyekiti, Mheshimiwa Tundu Lissu, bado anaendelea kuishi na ulemavu wa kudumu uliotokana na kupigwa risasi 16 katika jaribio la mauaji la Septemba 7, 2017. Kwa msingi huo, aina yoyote ya ukatili dhidi yake si tu kwamba ni kinyume cha sheria, bali pia ni tishio la moja kwa moja kwa maisha yake.

Chadema inatoa wito mzito kwa Mahakama ya Tanzania, kama mhimili huru wa utoaji wa haki, kuhakikisha kuwa tukio hili linachunguzwa kwa kina, na hatua za haraka na wazi zinachukuliwa dhidi ya waliohusika, bila kujali wadhifa wao. Tukio la ukatili ndani ya maeneo ya Mahakama linaathiri taswira ya Mahakama kama kimbilio la haki, na linatishia uaminifu wa wananchi kwa mfumo wa utoaji haki nchini.

Imetolewa leo Almamisi, 31 Julai 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi

Pia soma: VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani​
Video mana Lisu ni mlemavu anaweza kutonesha madonda!
 
Hawa wajinga wanaoishi kwenye mabanda ya Njiwa wanajiona wajanja wakati yananuka njaa tupu,

Tuambieni wanaishi banda namba ngapi la njiwa?
 
Back
Top Bottom