Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

Chadema the Talk of Town
 
Wanaoumia ni maccm
 
So to say that he's going to be a chairman for lifetime?

Ndiyo Demokrasia na maendeleo hiyo?
not lifetime,
but until he is satisfied, that he left the party on the hands of a patriot individual, disciplined and mature person he trust, without fear of contradictions......

but not his vice chairman completely πŸ’

tafsiri ya demokrasia na maendeleo inabaki ndani ya fikra na uelewa wa mtu binafsi πŸ’
 
πŸ™„πŸ™„πŸ€”
 
πŸ™„ πŸ™„ πŸ€”
 
Hii ni chai kabisa. Ni uzushi, Ni uongo. Never believe it ❌❌❌
 
Chadema inawasumbua sana nyie ma CCM.
 
Wengine tulishauri zamani...

Tundu Lissu hawezi kufikia peak yake akiwa Chadema...

Kile ni chama cha kikabila...

Na hilo atalijua akithubutu kupingana na Mbowe hadharani...

Atashangaa matusi yanatoka kwa watu wa eneo moja tu la nchi.
 
Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025
Ndio UMOJA party hiyo?

======
Hebu fikiria wakiwa Serikalini itakuwaje. Total disarray.

Wasubiri 2050 na kwaavile washakubali wasamehewe(baadhi) kwa kupewa ka nusu mkate 2025 basi naona sawa tu.

Waanzishe chama chao baada ya miaka 20 hivi watakuwa wamekomaa.
 
Hakun
Hakuna mwanachama/shabikia wa Chadema anayelalamika kuhusu uenyekiti wa Mbowe pale Chadema. Wanaompigia kelele ni chawa wa ccm.
Swali: ccm wanashida gani na uenyekiti wa Mbowe?
Jibu: Mbowe hanunuliki.
Ikumbukwe Chadema ni chama kilichosajoliwa kihalali, kina katiba, na katiba inafuatwa vizuri, vinginevyo msajili ageshaingilia. (Si unakua msajili jezi yake ni ragi ya kijani?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…