The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 242
- 486
Nitajie chama cha siasa Tanzania ambacho hakina sifa ulizozitaja hapa?Anaeamini katika wizi, uonevu, dhulma huyo ndio mpuuzi asiye na humanity yaani hana tofauti na fisi ubinafsi ndio his priorities wala hajali madhara ya huo ubinafsi kwa wengine.
Acha exaggeration zisizo na maana! Lissu ni timamu hawezi kufanya ujinga unaomfundisha. Na kudhani kuwa Lissu na Msigwa wanaweza kuondoka cdm ni ndoto za alinacha.Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.
Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.
Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Utasubiri sana wee mmakonde kama fisi anayesubiria mkono wa binadamu udondoke apate mlo wa siku!Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.
Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.
Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Mbona huhoji demokrasia ya china inayokuletea toothpick na ya India inayokupeni mchele wa biriyani? Haya, geuka angalia hapo Rwanda na Uganda uniambie wamekaa muda gani hao wakuu wao!So to say that he's going to be a chairman for lifetime?
Ndiyo Demokrasia na maendeleo hiyo?
We jamaa mdini sana. Wewe tangu unajiunga humu unajulikana. Ulikuwa na vita kali sana na chadema..kipindi Slaa yupo chadema. Kwa wanaokujua…..they know you. Huna jipya.Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.
Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.
Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Bado sana! Mbona Mkuchika humsemi au kwa kuwa mjomba wako!So to say that he's going to be a chairman for lifetime?
Ndiyo Demokrasia na maendeleo hiyo?
chaiFriends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka Nje ya chama Kwa mipango Maalum ya kukihujum chama Hiko.
Peter Msigwa, mara baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi hivi majuzi na Sugu amehamishia majeshi yake Kwa mshirika wake wa KARIBU TUNDU LISU.
Zipo TETESI zinaendelea chini chini kuwa wawili hao Wana mpango wa kuunganisha nguvu na kuunda chama Chao kuelekea uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, kwani wamebaini kuwa Kuna kila dalili ya Mwenyekiti wao Mbowe kuendeleza siasa zake za kung'ang'ania uongozi ndani ya chama Hiko.
Wewe kwani umerudi lini kutoka Hamas?Friends and Our Enemies...

Wacha uoumbavu wako wewe mdogo wake Zitto KabweMbowe sijui ana biashara gani ndani ya CHADEMA.
Watoto waliozaliwa wakati anaingia kwenye uenyekiti wa CHADEMA leo hii wanagraduate chuo kikuu yeye yupo tu!.
Sasa sijui ana jipya gani aliloshindwa kulifanya ndani ya miaka zaidi ya 20 aliyokuwa mwenyekiti wa Chama!
Kajinyonge basiMbowe ndio kirusi katika siasa za upinzani Tanzania.
Ni umbea na propaganda kutoka lumumbaSource?
Umeonaeeeeee [emoji23]?Umeshindwa kudanganya vizuri! Afadhari unge bet!
Sema ACT ambayo ipo bado icuBadala ya kuunda chama kipya wangefufua NCCR au TLP
Wacha ubwege wako wewe mramba miguu wa zzkTangu Mbowe alivyokiri kuwa alimuita Halima Mdee Nairobi kisirisiri wakati Mdee kasaliti chama nikajua na yeye ndo walewale!
Sema dada yako Fayza FoxMtu wa ndani kabisa
Usivyokuwa na akili unaenda kinyume na zzkChama KIPYA sometimes kinakuja na karma mpya,we si umeona ACT?