Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ndio maana wanawakomalia akina Mdee baada ya kugundua wamewapiga bonge la bao!Kila mwanachadema anafanyia kazi maslahi yake binafsi kwa bidii
Mwenyekiti anafanyia maslahi yake ya kudumu
Tundu na lema wanafanyia maslahi yao ya kula bata ughaibuni
Tuwaache hawa na wafanye maslahi😅😅😅😅
Dah....Chadema ni taasisi mkuu [emoji2960]Kufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!
Sawa. Inajihusisha na nini dogo?
Mbona kwa sasa chadema wote wako busy kumsifia mwenyekiti wa ccm na kumpampa kwakila aina ya mapamboo. Na badooo kunakimbunga jobo kinakujaa. Hadi office zao zitapakwa rangi ya kijaniii
Legacy inalindwa na mitambo maalum ya MATAGA. Kaa mbali!Ipo kwako, mtaani kwako, katani kwako, tarafani kwako, wilayani kwako, mkoani kwako, taifani kwako, Afrika na dunia nzima. Huna jinsi ya kuikwepa LEGACY YA JPM!!!!!
Wacha kujipamba wewe mushuti wa RwandaMimi natoka Kiziba kule kwa akina nshomile pure. Kata moja na Balozi Liberatha Mulamula. Jirani na Kata anayotoka Mexence Melo!
Mwendazake Alipambana kwa kutumia Majeshi yote matokeo Chadema haikufa Akafa yeyeKufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!
Unajitukana mwenyeweMimi ni Mtanzania "akara n'akarenge"!
Amekwisha baba yako jiweKwisha habari yako!
Ubarikiwe sana mkuu ChahaliFake news. Huyu hama hama alikuwa NCCR-Mageuzi baada ya kuhama Chadema mwaka jana
View attachment 1787796View attachment 1787798
Lazima nawewe corona ikusombeIpo kwako, mtaani kwako, katani kwako, tarafani kwako, wilayani kwako, mkoani kwako, taifani kwako, Afrika na dunia nzima. Huna jinsi ya kuikwepa LEGACY YA JPM!!!!!
Mwanachama wa cdm akihamia ccm Ni nderemo vifijo ngoma kuanzia cc, nec mkutano mkuu utadhani cdm Iko madarakaniCheo chake ni mwanachama wa CDM ? Anapokelewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa?
Tuondolee upuuzi hapa, akili za Shaka ni ndogo kama za Mwenyekiti wake.
Magufuli na mbwbwe zote kafa kaiacha cdm inapeperusha benderaKufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!
Upinzani imara ukoje?Ni kweli nchi inahitaji upinzani imara, lakini sio huu wa kipumbavu wa Chadema.
Yote haya ila mkisikia tume huru, matumbo yanachafuka na kukimbilia msalani.
kunywa majiNdiyo nani huyo? Mwambieni aunge juhudi za moja kwa moja kwenda kuwa mpambe wa Jiwe kwenye kampeni za kuwania ukuu wa malaika. Mwenzenu kule anasafa analalamika mumeishia njiani kuunga mkono juhudi. Siyo poa mjue!
We msafisha vyoo huko ulaya kaa kimya.Fake news. Huyu hama hama alikuwa NCCR-Mageuzi baada ya kuhama Chadema mwaka jana
View attachment 1787796View attachment 1787798
Hata kukiwa na tume huru, upinzani huu utopolo hauwezi shinda popote. Endeleeni kuwa mifugo ya Mbowe, wajanja wanatokea madirishani tu.Yote haya ila mkisikia tume huru, matumbo yanachafuka na kukimbilia msalani.
Kwani huyo ndio wa kwanza kuondoka CHADEMA? hamuoni aibu watu wanatoka upinzani wanakuja huko kupewa ulaji nyie mpo mpo tu! Kweli CCM kumejaa vilazerKufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!