Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

mhh matokeo kama haya ndo yalimtia hasira kigogo akapigwa BAN ya milele..ngoja nikae kimya maana wakubwa wa humu wana hasira sana na yoyote anayepinga mambo ya NEC
 
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232

Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.
 
Hongera wana Mpanda, Chadema, Jf na wapenda mageuzi kwa ujumla
 
ayaaaa kidedea ntarudi mjengoni kutembeaaaaaaa...hahahaa CHADEMA oyeeeee...Kigogo unamithi mambo ya uchaguzi kwa ajili ya MITUSI yako ya nguoni uliyoimimina hapa...hahaaaaaa....

MODS hivi hamuwezi mkampiga faini KIGOGO afunguliwe jamani..msimfanyie hivi mpwa wangu
 
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232

Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.

That was close! Hongera Mh Said Amour Arfi kutetea kiti chako.
 
Hizi ni Details zaidi;
Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa

Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni
Azimio 1, Chadema (124), CCM (23),
Azimio 2, Chadema (72), CCM (62),
Azimio 3 Chadema (88), CCM (49),
Azimio 4, Chadema (72), CCM (55),
Azimio 5, Chadema (72), CCM (62).

Katika kituo cha Paradise 1, Chadema (64), CCM (62),
Paradise 2, Chadema (94), CCM (55),
Paradise 3, Chadema (100), CCM (68),
Paradise 4, Chadema (94), CCM (63),
Majengo Chadema (73), CCM (65),
Makanyagio 1, Chadema (64), CCM (63),
Makanyagio 2, Chadema (86), CCM (59).
Makanyagio 3, Chadema (103), CCM (73),
Makanyagio 4, Chadema (92), CCM (64),
Makanyagio 5, Chadema (88), CCM (69),
Isikama 1, Chadema (90), CCM (67),
Isikama 2, Chadema (108), CCM (78),
Isikama 3, Chadema (90), CCM (73).
 

Mwera hapo tusikubali na kama ni vipi ndiyo patakuwa maahali pa kuanzia ukombozi wetu tumeonewa sana hakuna cha polisi wala nini ila wametupora Rais wetu na majimbo kibao na bado wanataka kuendeleza dhuluma yao!!!
Hakikisheni mmepandana kidete na wapange wana mabadiliko vizuri kuleta ukombozi

NB: HAKUNA AMAN ILA KWA INCHA YA UPANGA
 

Hii ni nzuri ikatumika kama checklist. Njia rahisi ni kununua scanner kama zile za CRDB ambazo zinascan cheque kwenye matawi na kupeleka makao makuu. Kama tuna majimbo 239, tunahitaji vingamuzi 239 ambazo zitascan matokea ya kila kituo na kuyaingiza kwenye system ya NEC na kutoa matokeo ya jumla kwa jimbo na kwa Taifa.
 
mkuu tunataka matokeo ya TUME si unajua uchakachuaji mkuu!!
 
tume hawana jipya juu hili,hawawezi chakachuwaaa kwani zama hizi tumeshajuwa nani mshindi na tuna matokeo mkononi,wachakachuwe waone,hizo ni hasira za wananchi kwa spika makinda,akae chonjo
mapinduziiiiiiii damaaaaaaa
 

Kwa hayo matokeo yako ya awali, ina maana jumla ya kura zilizopigwa ni 2684:

CHADEMA : 1574
CCM: 1110

Hivyo matokeo sahihi ndiyo ya post ya 1
 
Mpanda vijijini na Kenge CCM imechukua
Acha wachukue umuhimu wa ushindi wa Arfi ni kama ushindi wa majimbo manne
1. tumemrudisha Makamu mwenyekiti ni faraja kubwa kwa chama
2. tumeshinda nyumbani kwa waziri mkuu
3. tumefuta maneno ya ukanda na udini
4. tumejihakikishia kuongeza viti maalum
 
Inaelekea watu hamkupata somo matokeo yaliyopita. Haya matokeo ni "fraction of a second" CCM kuyatangaza kinyumenyume (reverse). Naona tumesahau ya Segerea na Karagwe. Yangu masikio maana sipo mpanda kuona kwa macho
 
Enzi yetu mtu akipigwa ngumi nzito tunasema kapigwa jepu naona ssm wametunguliwa jepu nyumbani kwa mtoto wa mkulima. Kumbessm shida yao ilikuwa Urais tu maana huko sijasikia uchakachuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…