inapendeza kusikia.
Hakika hii ni kubwa, kubwa zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inapendeza kusikia.
Said Arfi wa CHADEMA - 8841
Sebastina Kapufi -CCM - 8232
Kura zote zimehesabiwa tayari, Matokeo yatatangazwa leo.
watu hapa wako ngangari kinoma hatuondoki mpaka kieleweke,ila kwahakika inaonekama kuna power kubwasana inatumika hapa mambo yabadilishwe,wanachakachua nakuna fununu kuwa mzeepinda yupo kwasiri ili akamilishe kazi,mpaka jion inasemekana alikua dodoma ila sasa naskia yupo wanafos wamtangaze mtu wao wa ccm.
Jamani,
Mnakumbuka nimepiga kelele sana kwamba uzembe wetu ilikuwa ni kuacha Tume ijumlishe kura za kituo kwa kituo wakati na sisi tunajua hesabu hiyo ndogo.
Wa Ndima katuletea matokeo ya vituo na mimi nimeyapanga ndani ya worksheet hii ambayo tuliileta tuitume kwenye uchaguzi mkuu uliochakachuliwa.
Mwanajamvi Wa Ndima, vituo ulivyotutajia kura zake hapo juu vituo juu nimeviweka na viko 19 na inaonyesha kwamba CHADEMA wanaongoza kwa 1,574 wakati CCM wanazo 1,110.
Ambayo ni kwamba CHADEMA wanaongoza kwa asilimia 58.64 na CCM wana asilimia 41.36.
Kama jumla ya vituo ni 28 basi tuleteeni matokeo ya vilivyobaki tisa tuwaonyeshe kuwa tuko mbele kiteknology na hatuwasubiri watujumlishie.
Kama kuna majimbo mengine leteni pia tuyajumlishe.
Fungueni sheet hii niliyo-attch humu muone uhondo wa kujijulishia wenyewe.
Hi ni rasharasha. Mwaka 2015 hii sheet inabidi iatwanywe kwa watanzania wote ifikapo February 2015 na ijadiliwe ili kil ammoja mwaka ule ajue kila mtanzania anahitaji kujijumlishia mwenyewe na kazi yake itakuwa ni kut-type tu kwenye komputer na kuingiza jina la kituo na idadi ya kura.
Hizi ni Details zaidi;
Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa
Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni
Azimio 1, Chadema (124), CCM (23),
Azimio 2, Chadema (72), CCM (62),
Azimio 3 Chadema (88), CCM (49),
Azimio 4, Chadema (72), CCM (55),
Azimio 5, Chadema (72), CCM (62).
Katika kituo cha Paradise 1, Chadema (64), CCM (62),
Paradise 2, Chadema (94), CCM (55),
Paradise 3, Chadema (100), CCM (68),
Paradise 4, Chadema (94), CCM (63),
Majengo Chadema (73), CCM (65),
Makanyagio 1, Chadema (64), CCM (63),
Makanyagio 2, Chadema (86), CCM (59).
Makanyagio 3, Chadema (103), CCM (73),
Makanyagio 4, Chadema (92), CCM (64),
Makanyagio 5, Chadema (88), CCM (69),
Isikama 1, Chadema (90), CCM (67),
Isikama 2, Chadema (108), CCM (78),
Isikama 3, Chadema (90), CCM (73).
Acha wachukue umuhimu wa ushindi wa Arfi ni kama ushindi wa majimbo manneMpanda vijijini na Kenge CCM imechukua