Mkuu mimi sipo Tanzania nilikuwa nataka kufahamu kama sheria ipo au hakuna. Anyway kwa sababu umefanya judgement tayari na inaonekana hakuna anayefahamu kama kuna sheria au la. Hatari sana. Shukrani kwa kunifahamisha. (Utawala wa Sheria)
BTW UK ukitaka kuweka tangazo kwenye nguzo za umeme barabarani au kwenye nguzo zako lazima upate kibali na unalipia kiasi flani cha pesa na muda matangazo yako yatakapokuwa barabarani. Hata ukitaka kupeperusha bendera nk Fees zipo categorised kufuatana na sheria zao.
..sheria zinaweza kuwepo.
..ila tatizo ni kuwa zinakuwa-applied kwa cdm tu.
..ccm wenyewe wanapeta tu, wako juu ya sheria.
..Ni kama kuwe na mechi ya mpira halafu mwamuzi anaipigia kipenga timu moja tu, nyingine inacheza inavyotaka yenyewe.
..Hebu fikiria kwa jiji zima la Dsm, wagombea wote wa cdm ktk uchaguzi wa serikali za mitaa majina yao yalikatwa kwa kukosea kujaza fomu. Halafu wagombea wa ccm fomu zao zilikuwa hazina kasoro 100%.