CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo


..sheria zinaweza kuwepo.

..ila tatizo ni kuwa zinakuwa-applied kwa cdm tu.

..ccm wenyewe wanapeta tu, wako juu ya sheria.

..Ni kama kuwe na mechi ya mpira halafu mwamuzi anaipigia kipenga timu moja tu, nyingine inacheza inavyotaka yenyewe.

..Hebu fikiria kwa jiji zima la Dsm, wagombea wote wa cdm ktk uchaguzi wa serikali za mitaa majina yao yalikatwa kwa kukosea kujaza fomu. Halafu wagombea wa ccm fomu zao zilikuwa hazina kasoro 100%.
 

Mkuu ukiangalia post yangu mwanzo nilisema Chadema wangeweza kuweka picha ambazo zinaonyesha CCM wanapofanya mkutano ie. Mwanza na kuonyesha kwamba walipeperusha bendera na hawakulipa au hawakufuata sheria nk. ili kuonyesha double standars ambazo unasema, kwa sababu kuandika hivi bila ushahidi ni Majungu kwa sababu mchezo huu kama unavyosema haujaanza leo kwa chama tawala.

Kaeni muwe na timu ya kutengeneza ushahidi bila kulialia kila siku.

Kuhusu uchaguzi mbona hamkujibu tuhuma zilizotolewa kwamba mlijitoa uchaguzi kwa sababu ya ukata? Kwa mujibu wa CCM mlikubaliana kanuni ambazo nyinyi mlishindwa kuzifuata na kukimbilia kujitoa. Then baadaye mkajitokeza kwenye sherehe za uhuru na kusema mnaomba maridhiano? Huoni hapo kwanza mnaonyesha udhaifu na kuwa mmekwama? Yaani mlikuwa hamumtambui JPM kama rais mkasusia sherehe za uhuru na sasa bila hata kusema kwamba mnamtambua mnataka maridhiano. Are you serious?
 
Akili matope

In God we Trust
 
Huyu mama atafungwa
 
Kumshambulia mama mtu mzima km huyo ni kujitakia balaa tu

Mimi najitenga hapo

Tuwaheshimu mama zetu
wamama kama hawa si wa kuwaheshimu hatta kiduchu hata kama ni mamako anatabia hizo ni wa kuogopwa kama UKOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…