johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa........ Penye ukweli uwongo hujitenga bwashee!Jo leo kidogo zimekurudi
Jr[emoji769]
Hiki ni kipindi cha majilio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa........ Penye ukweli uwongo hujitenga bwashee!Jo leo kidogo zimekurudi
Jr[emoji769]
Mkuu, inatupasa kama taifa tutafakari upya hasa kuhusu demokrasia na ustawi wa jamii kwa ujumla wake.
Hapana hase bali kila kiongozi aliyekubalika na watu sio wakujilazimishaHalafu dini inakuambia kuwa kila kiongozi hutoka kwa Mungu!
Halafu dini inakuambia kuwa kila kiongozi hutoka kwa Mungu!
Amini usiamini hii ni Idea ya bash*te
Hivyo vyote ni ugonjwa mkuuKinyongo + husda + wivu + hofu + gere + chuki + ? = .................................................
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo zikikaa hapo mapato ya halmashauri yanapungua? Tutaona na kusikia mengi
Hahahaaa....... Mpendwa siasa zisitupofushe macho kama wala rushwa!Wana kibaki Cha kuzifunga kwa wamiliki wa nguzo na miti? Kwani nguzo na barabarani wanamoweka Ni Mali yao?
Barabara ni.mali ya Tanroads na Tarura wamepata kibali?
Mpumbavu sana hawawezi kuzuia Kimbunga cha mabadiliko
Bendera zina madhara gan? Hawa wateule wanamuaibisha Rais.