SI KWELI CHADEMA yapiga marufuku ambao hawana elimu ya kidato cha sita na kuendelea kugombea serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Ni uamuzi mzuri ili wagombea wawe waelewa na kujaza fomu ya kugombea haitawasimbua. Kuna kituko Bungeni etu Mtu anajisifia kuwa darasa la saba.
 

UPDATe: Apparently kuna ripoti kwamba hii ni fake news.

But the abstract question raised is interesting nevertheless.

××××××××××××××××××××××××××××××
Mimi huwa sipendi siasa za majitaka, kuchafuana vyama, nk.

Na sijui ajenda yako, na sijui kama wewe ni sehemu ya vita hizi za vyama, na sitaki kuwa sehemu ya vita hizi za vyama.

Ila, ninasimamia kanuni za msingi.

Nikitaka kusema kuwa hili sharti, kwa kifupi, linavunja haki za kikatiba za wananchi kuhomnea uongozi, kwa sababu haki hizi za kikatiba hazina masharti ya kielimu zaidi ya kujua kusoma na kuandika.

Lakini, nikajiuliza zaidi.

Kama katiba haina kigezo cha usomi rasmi ili kugombea viti vya serikaki za mitaa, mtu yeyote anayejua kusoma na kuandika anaweza kugombea, halafu CHADEMA ikaweka kigezo cha kielimu cha Kidato cha Sita, je, hapo CHADEMA inakuwa imevunja haki za kikatiba za wanachama kwa kuweka kigezo hicho?

Au kigezo hicho hakivunji haki ya kikatiba kwa sababu wanachama wa CHADEMA wanaweza kujiunga na vyama vingine kugombea nafasi hizo hizo, si lazima wagombee wakiwa CHADEMA.

Hilo sharti ni sawa na sharti la kukubali itikadi nyingine tu za CHADEMA?
 
Yaani utokee ugomvi wa wana ndoa mtaani mtu aupeleke kwa kijana ambaye hata hajaoa, na muda wote kalewa visungura. Mwenyekiti wa mtaa ni mzee wa busara wa eneo hilo
Hawa waizi wa kura wa ccm nao wana busara?
 
chadema inawajali watu wote ila watakuwa wanajaribu kukwepa ule ubwege wa ccm kwamba wagombea wao hawajui kusoma na kuandika kama ilivyotokea 2019 hivyo walijaza fomu vibaya
 
Ni uamuzi mzuri ili wagombea wawe waelewa na kujaza fomu ya kugombea haitawasimbua. Kuna kituko Bungeni etu Mtu anajisifia kuwa darasa la saba.
Chadema iko sahihi mno pia inasaidia kuondoa ushiriiina na washirikina bungeni wategemea ushirikina kuingia bungeni
.
Wabunge wengi walioingia bungeni wasio kidato cha sita washirikina wakubwa mno hatari wanaishi tu kwa ndumba na albadiri na ushirikina

CCM kuwaondoa iige Chadema

Lazima wapitie kidato cha sita
 
Erythrocyte kuna ukweli kwenye hili?
 
Chama hicho, japo kimewanyima haki ya kugombea, kinatarajia kwenda kuwaomba kura ili kuwatumia kisiasa kwa faida yao
Nia Yao ni nini Chadema?
===
Nikiangalia CV ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Magharibi , inanichanganya kidogo . Au CV hii ni fake?
===

Professional Particulars​

Education
YearLevelSchoolStatusAward
1988 - 1990Secondary SchoolMbeya Secondary SchoolCompletedCSEE
1990 - 1991Secondary SchoolSabasaba Secondary SchoolCompletedCSEE
1981 - 1984Primary SchoolLigula Primary SchoolCompletedCPEE
1984 - 1986Primary SchoolSokoine Primary SchoolCompletedCPEE
1986 - 1987Primary SchoolSisimba Primary SchoolCompletedCPEE

Work Experience
YearPositionOrganization
2010 - 2015Member - Mbeya Urban ConstituencyThe Parliament of Tanzania
1998 - 2010Security OfficerBP Tanzania Limited
1994 - 1998CelebritySelf Employed

Political Experience
YearPositionOrganization
2010 - to dateMemberCHADEMA
 
Ila viongozi wetu wakati mwingine sijui wanawazaga nini? Mm kijijini kwetu Kyamulaile au kata bulyakashaju kumpata kijana au mtu aliyemaliza form six kama sio mtumishi wa umma basi hakuna. Hv wanafkl Tanzania nzima nikama Dar es salaam Arusha au Mwanza? Wangesema kwa udiwani sawa ila mwenyekiti wa kijiji au kitongoji ilo kwangu ni big no.
 
Kupunguza ushirikina bungeni wateuliwe tu waliopitia kidato cha sita kugombea ubunge
Hao wengine wanaishi kwa ushirikina

Vyama vyote viige Chadema mimi CCM nawaunga mkono kwa hili Chadema

Wengi chini ya kidato cha sita wanakesha kwa waganga wachawi na mashehe wachawi kupata vyeo
 
Sass mimi wa Bumbile? Huko form two kasoma sana
 
Kuliko kuchukua mtu wa darasa la sababu kuwa mwenyekiti WA Kijiji au mtaa Karne ya 21, Bora wasiwe na viongozi uongozi.
Naunga hoja mkono 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…