CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

Mbona CCM walichukua wagombea wengi wa CHADEMA na hatusemi?. Katambi, Silinde, Gekul, Mollel na wote wakapewa uwaziri wengine wakuu wa Wilaya na kurugenzi Lazaro Calist, Nassari, Mashinji nk. CHADEMA Ni kitovu Cha uongozi.
Hao walikuwa huko huku mioyo yao ikiwa CCM ndio maana walirejea nyumbani muda wao ulipowadia
 
Unapima kina chanmto Ruvu wakati maji yako hapa Aghakani Tena mpaka yanaruka ruka,kero ya chakula na maji pamoja na bei ya umeme hiyo ndo kipimo cha ccm,huku kwenye mfumo wanmalipo Muse ni kero ya nchi lakini wakurugenzi bado wanapiga pesa kwa speed
 
Hao walikuwa huko huku mioyo yao ikiwa CCM ndio maana walirejea nyumbani muda wao ulipowadia
Katika juhudi zako za kuibomoa chama tawala, kama tu wangekuwa na akili wangekuwa wameshakushtukia lakini walivyo wazito kifikra sahau. Unafanya kazi nzuri kweli kweli kwa kupuuzia vilio vya wananchi na kutwa ukiwasifia waliowasababishia maisha magumu. Kazi nzuri sana Lucas mwashambwa...
 
Naona akili yako unawaza uteuzi tu, kwani Kuna mahali nimeandika habari za uteuzi hapo
Bila uteuzi usingeandika haya.Kubali tu wewe siyo wa kwanza kuwa MALAYA wa kisiasa.Malaya wenzako wa kisiasa walianza hivi na mwisho wa siku wakaishia kwenye UKUU wa wilaya.Otherwise all the the best .
 
MATANGAZO YA KUTAFUTA MUME YA NINI? NUKSI UNZAITAFUTA MWENYEWE .
Lazima usearch google nahujui mume yupo wapi hapo kitaa hujui kama wanakuonaje halafu kama baridi kwanini usitafute kifuta jasho humu japo sijapata ila kifuta jasho bado sijapata
 
Wana CCM wakawa Wana vaa tisheti ndani ya mashati ya mikono mirefu na kufunga vifungo Hadi shingoni utazani mtu anayetaka kujinyonga, kofia za chama zikawa hazivaliwi Sana maana wanachama waliogopa kuvuliwa kwa nguvu, kofia zikawa zinakunjwa na kufichwa, wanachama wakawa wanakwenda mikutanoni kupitia vichochoroni Hadi uwanjani na kila mtu kurudi kwa njia yake, Tukawa tunaishi utazani sisi ndio wapinzani na wapinzani ndio chama Tawala.
 
Ninyi ndio hamjitambui maana chama chenu hakina uwezo wa kuandaa mgombea ndio maana yoyote ajaye kwenu anapewa nafasi ya moja kwa moja kugombea Urais kwa kuwa nyie huko hamna watu wa kuweza kugombea, uchaguzi ujao pia tutawapa ili msikose mgombea
Kwa nini mnawazuia walioshindwa kufanya siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…