Ijue historia ya watu wewe zuzu, Dr Slaa alirudi nyumbani. Alidandia tu Chadema baada ya kutemwa kugombea ubunge kupitia CCM ndipo akakimbilia Chadema.
Kweli wewe bonge la zuzu,
Mzee Mwanakijiji hakuwahi kuwa mwana Chadema, ni CCM miaka yote.
Chadema ilikuwa kimbilio kwa Lowassa mwaka 2015 kama ilivyokuwa kimbilio kwa Dr. Slaa mwaka 1995.
Hakuna Mtanzania mwenye akili anayewapuuza Chadema. Wajinga hawana nafasi ndani ya Chadema kwani ujinga ni mtaji mkubwa sana CCM.
Serikali ya CCM inaiogopa CHadema kama ukoma. Angalia serikali ya CCM inavyohangaika kuwanyamazisha Chadema wasisikike kwa wananchi!