CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

Mama yangu yupo CCM na familia nzima tupo CCM kwa kuwa ndio chama chenye kuleta matumaini katika maisha yetu
Mbona tulikua nae kwenye Vikao vyaetu vya ndani na sio Leo tu siku zote tupo nae hata hio mipango yenu ovu hua anatupenyezea yeye.
 
Mbona tulikua nae kwenye Vikao vyaetu vya ndani na sio Leo tu siku zote tupo nae hata hio mipango yenu ovu hua anatupenyezra yeye.
Chadema hata vikao ilishaacha kufanya maana kimebaki Ni chama kilichojichokea kila idara
 
Miaka mitaani mizula na vibendera vya Chadema vilitamalaki ,ni kweli kulikuwa na dhana ya kwamba kuwa Chadema ilikuwa kama ujanja fulani .

Siku hizi tu wananchi wengi hawafuatilii mambo ya siasa wameona magumashi sana ,wako bize kupambana maisha .
 
Huteuliwi ngo. .
 
Hiyo hapo ni Chadema digital
 

Attachments

  • IMG_20221023_153445_228.jpg
    762 KB · Views: 2
Miaka mitaani mizula na vibendera vya Chadema vilitamalaki ,ni kweli kulikuwa na dhana ya kwamba kuwa Chadema ilikuwa kama ujanja fulani .

Siku hizi tu wananchi wengi hawafuatilii mambo ya siasa wameona magumashi sana ,wako bize kupambana maisha .
Wameona chadema Ni wababaishaji na matapeli hasa baada ya kukamuliwa michango isiyo na hesabu Wala kueleweka zinakopotelea,mfano majuzi hapa Mbowe amekusanya pesa zao kwa kauli mbiu ya join the chain lakini Hadi saiz Haieleweki zimekwenda wapi Zaid ya ukimya tu kutawala
 
Hawana ajenda wamepoteza ushawishi kwa watanzania na wameshapuuzwa na watanzania ndio sababu ya kukata Tamaa
Ukiona chadema wamepoteza ushawishi ujue idadi yenu wajinga imeongezeka maradufu kutoka kipindi kile cha ushawishi wao na sasa [emoji851]
 
Wewe Lucas ni pimbi Sana, hujielewi kenge wewe!
Mimi najielewa ndio maana nawasaidia kuwapa ushauri nyie chadema mlio shindwa kujenga hata ofisi za makao makuu licha ya kupokea Ruzuku na michango mamillion kwa mamilioni lakini mmetafuna zote na kupiga mswaki midomo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…