Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #101
Chadema haina ubavu wa kuitikisa CCMHuwezi ukashauri Chadema inayolenga kuwaondoa mabwana zako kwenye utawala wao dhalimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema haina ubavu wa kuitikisa CCMHuwezi ukashauri Chadema inayolenga kuwaondoa mabwana zako kwenye utawala wao dhalimu.
Uungwaji mkono wa CCm kutoka kwa vijana Ni mkubwa Sana kuanzia kuongezeka kwa wanachama wanao chukua kadi za CCM katika ofisi za chama na hamasa ya vijana Katika chaguzi za ndani ya chamaHuo ushawishi umeupimaje wakati serikali inazuia mikutano ya hadhara!?
inakuwaje mwanaume kama kweli wewe ni rijali kabisa, unapoteza muda wako kuandika vijembe vya kipuuzi namna hii ilhali unajua vyama vingine vyote vya siasa vimezuia kufanya shughuli za siasa? Kichwa chako kiko sawa kweli wewe?Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana na kuhamasika kujiunga na chadema.
Tulio kuwa CCM na kuweka Imani yetu kwa CCM kutokana na Sera zake na itikadi yake tulionekana Kana kwamba Ni vijana tuliopitwa na wakati, tulionekana Ni vijana wakizamani katika Zama mpya, Tulionekana Ni wazee katika umri wa ujana.
Nguo na magwanda ya Chadema yalivaliwa na vijana hao kwa mbwembwe Sana, Wana CCM wakawa wanaona aibu kuvaa sare na kupita nazo mitaani, Wana CCM waliona uoga kujitambusha UCCM wao katikati ya kundi maana ilikuwa unapata mashambulizi yasiyo ya kawaida.
Wana CCM wakawa Wana vaa tisheti ndani ya mashati ya mikono mirefu na kufunga vifungo Hadi shingoni utazani mtu anayetaka kujinyonga, kofia za chama zikawa hazivaliwi Sana maana wanachama waliogopa kuvuliwa kwa nguvu, kofia zikawa zinakunjwa na kufichwa, wanachama wakawa wanakwenda mikutanoni kupitia vichochoroni Hadi uwanjani na kila mtu kurudi kwa njia yake, Tukawa tunaishi utazani sisi ndio wapinzani na wapinzani ndio chama Tawala.
Asante CCM chama kikongwe chenye kila aina ya mbinu, chenye hadhina ya viongozi, chenye kujuwa historia yake,chenye kujuwa wapi kimetoka na wapi kimejikwaa na chenye kujisahihisha.kikaamua kurejea mezani kuangalia wapi kimejikwaa,wapi kiliwakosea watanzania,wapi kiliwaumiza watanzania,wapi kiliacha misingi yake,wapi hakikutenda haki,wapi kiliteleza,wapi kiliwapa kisogo wananchi, wakina Nani walikiangusha,walikifedhehesha,walikinyima kura,walikisaliti,walikipaka matope,waliokichafua,wakina Nani walikifanya kichukiwe na watanzania, Nini kilikifikisha hapo,mambo gani yalikipa doa chama chetu?
CCM ikajisahihisha na kurejea katika misingi yake, Misingi ya kuwatumikia watanzania wanyonge, misingi yakutokutekwa nyara na wachache, misingi ya kuwa chama kiongozi,misingi ya kutenda haki katika michakato yake ya ndani,misingi ya kutanguliza mbele Taifa letu, misingi ya kusikilizana na kushirikiana,misingi ya kuhakikisha kuwa chama kinakuwa Sauti ya wanyonge,misingi ya kuhakikisha chama kinakuwa masikio na mdomo wa watanzania wanyonge,Misingi ya kuwapa nafasi vijana, misingi ya kukiweka chama mikononi mwa wanachama,Misingi ya kusema kweli na kuondoa ufitini
Hatimaye watanzania wamerejesha matumaini ndani ya CCM, hatimaye watanzania wamesamehe yote yaliyopita, hatimaye watanzania wametambua mzazi Ni mzazi tu ,Hatimaye watanzania wameona namna CCM inavyowatumikia kwa upendo na bidii kubwa, wameona namna CCM na serikali yake inavyogusa maisha yao, hatimaye watanzania wameona namna serikali ya CCM inavyokesha ikifanya kazi, hatimaye wameona namna serikali ya CCM ilivyo sikivu na makini katika kuwatumikia.
Kibao kimegeuka, Sasa chadema haieleweki Wala haisikilizwi, haifuatiliwi Wala haipewi masikio na watanzania, chadema kwa Sasa haina ngome ya aina yoyote Ile, Haina ushawishi kwa watanzania, Haina mizizi yoyote Ile, imebaki imening'inia hewani tu, Haina matumaini ya aina yoyote maana hakuna wa kuipa matumaini.
Wanachama wake wachache waliobakia wanaogopa kuvaa hata Sare zake, wanaogopa hata kusema juu ya chama Chao, wanaogopa hata kutetea chama Chao maana hakuna wa kuwasikiliza na hawaelewi watetee Nini, wenye akili walishawakimibia,walishawapa mkono wa kwa heri, walishabeba akili zao na mikakati yao, walishaondoka na ajenda zao,kimebaki Ni chama kisicho na dira Wala muelekeo, kimebaki Ni chama chenye safu ya uongozi iliyojikatia Tamaa na isiyotoa matumaini hata kwa wanachama wake yenyewe na haina ushawishi kwa watanzania, Hakina viongozi wenye mvuto wa kihoja, hawana maono Wala misimamo ya aina yoyote Ile na hawaeleweki wanasimamia Nini na wanapigania nini.
Chadema kimebaki Ni chama ambacho hakina uwezo wa kuandaa hata ilani ya chama, hakina watu wenye kufanya utafiti wa kisera , Kimebaki Ni chama kilichojaa viongozi wenye mihemuko tu, Kwa heri Chadema wakati si wako Tena na haupo upande wako Tena, Karibuni CCM Tuijenge nchi yetu, Vijana wenye kujitambua wamesharejea ccm na Kuendelea na kazi ya kuijenga nchi yetu.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Pamoja na wajibu wa mwannchi ktk mazingira, ni WAJIBU MKUBWA SANA wa serikali kuweka sera na mipango mizuri ya kumwongoza huyu mwanchi, na Ndiyo maana ikawepo serikali ili kuratibu.Katika suala la mazingira Ni wajibu wetu sote kuyatunza na kuyalinda, lakini pia suala la ushawishi Ni ukweli ulio wazi kuwa CCM Ina ushawishi mkubwa Sana kwa vijana
Ipo siku utajikuta umechanganyikiwa na Chadema, ongopa Sana chama ambacho tiyari kimekua imani ndani ya nyoyo za watu, level hii haitaji kuvaa sare n.k, nakupatia siri hii,Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana na kuhamasika kujiunga na chadema.
Tulio kuwa CCM na kuweka Imani yetu kwa CCM kutokana na Sera zake na itikadi yake tulionekana Kana kwamba Ni vijana tuliopitwa na wakati, tulionekana Ni vijana wakizamani katika Zama mpya, Tulionekana Ni wazee katika umri wa ujana.
Nguo na magwanda ya Chadema yalivaliwa na vijana hao kwa mbwembwe Sana, Wana CCM wakawa wanaona aibu kuvaa sare na kupita nazo mitaani, Wana CCM waliona uoga kujitambusha UCCM wao katikati ya kundi maana ilikuwa unapata mashambulizi yasiyo ya kawaida.
Wana CCM wakawa Wana vaa tisheti ndani ya mashati ya mikono mirefu na kufunga vifungo Hadi shingoni utazani mtu anayetaka kujinyonga, kofia za chama zikawa hazivaliwi Sana maana wanachama waliogopa kuvuliwa kwa nguvu, kofia zikawa zinakunjwa na kufichwa, wanachama wakawa wanakwenda mikutanoni kupitia vichochoroni Hadi uwanjani na kila mtu kurudi kwa njia yake, Tukawa tunaishi utazani sisi ndio wapinzani na wapinzani ndio chama Tawala.
Asante CCM chama kikongwe chenye kila aina ya mbinu, chenye hadhina ya viongozi, chenye kujuwa historia yake,chenye kujuwa wapi kimetoka na wapi kimejikwaa na chenye kujisahihisha.kikaamua kurejea mezani kuangalia wapi kimejikwaa,wapi kiliwakosea watanzania,wapi kiliwaumiza watanzania,wapi kiliacha misingi yake,wapi hakikutenda haki,wapi kiliteleza,wapi kiliwapa kisogo wananchi, wakina Nani walikiangusha,walikifedhehesha,walikinyima kura,walikisaliti,walikipaka matope,waliokichafua,wakina Nani walikifanya kichukiwe na watanzania, Nini kilikifikisha hapo,mambo gani yalikipa doa chama chetu?
CCM ikajisahihisha na kurejea katika misingi yake, Misingi ya kuwatumikia watanzania wanyonge, misingi yakutokutekwa nyara na wachache, misingi ya kuwa chama kiongozi,misingi ya kutenda haki katika michakato yake ya ndani,misingi ya kutanguliza mbele Taifa letu, misingi ya kusikilizana na kushirikiana,misingi ya kuhakikisha kuwa chama kinakuwa Sauti ya wanyonge,misingi ya kuhakikisha chama kinakuwa masikio na mdomo wa watanzania wanyonge,Misingi ya kuwapa nafasi vijana, misingi ya kukiweka chama mikononi mwa wanachama,Misingi ya kusema kweli na kuondoa ufitini
Hatimaye watanzania wamerejesha matumaini ndani ya CCM, hatimaye watanzania wamesamehe yote yaliyopita, hatimaye watanzania wametambua mzazi Ni mzazi tu ,Hatimaye watanzania wameona namna CCM inavyowatumikia kwa upendo na bidii kubwa, wameona namna CCM na serikali yake inavyogusa maisha yao, hatimaye watanzania wameona namna serikali ya CCM inavyokesha ikifanya kazi, hatimaye wameona namna serikali ya CCM ilivyo sikivu na makini katika kuwatumikia.
Kibao kimegeuka, Sasa chadema haieleweki Wala haisikilizwi, haifuatiliwi Wala haipewi masikio na watanzania, chadema kwa Sasa haina ngome ya aina yoyote Ile, Haina ushawishi kwa watanzania, Haina mizizi yoyote Ile, imebaki imening'inia hewani tu, Haina matumaini ya aina yoyote maana hakuna wa kuipa matumaini.
Wanachama wake wachache waliobakia wanaogopa kuvaa hata Sare zake, wanaogopa hata kusema juu ya chama Chao, wanaogopa hata kutetea chama Chao maana hakuna wa kuwasikiliza na hawaelewi watetee Nini, wenye akili walishawakimibia,walishawapa mkono wa kwa heri, walishabeba akili zao na mikakati yao, walishaondoka na ajenda zao,kimebaki Ni chama kisicho na dira Wala muelekeo, kimebaki Ni chama chenye safu ya uongozi iliyojikatia Tamaa na isiyotoa matumaini hata kwa wanachama wake yenyewe na haina ushawishi kwa watanzania, Hakina viongozi wenye mvuto wa kihoja, hawana maono Wala misimamo ya aina yoyote Ile na hawaeleweki wanasimamia Nini na wanapigania nini.
Chadema kimebaki Ni chama ambacho hakina uwezo wa kuandaa hata ilani ya chama, hakina watu wenye kufanya utafiti wa kisera , Kimebaki Ni chama kilichojaa viongozi wenye mihemuko tu, Kwa heri Chadema wakati si wako Tena na haupo upande wako Tena, Karibuni CCM Tuijenge nchi yetu, Vijana wenye kujitambua wamesharejea ccm na Kuendelea na kazi ya kuijenga nchi yetu.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Ungewashauri wazazi wako waliopoteza fedha kukusomesha halafu unaishia kuwa chawa,Bora wangefuga nguruweNdio naweza kuwashauri mkuu
Chadema haipo katika mioyo ya watanzania kwa Sasa ndio maana unaona haiungwi mkono katika azimio lolote lile au tamko lolote lile inalolitoa kwa watanzaniaIpo siku utajikuta umechanganyikiwa na Chadema, ongopa Sana chama ambacho tiyari kimekua imani ndani ya nyoyo za watu, level hii haitaji kuvaa sare n.k, nakupatia siri hii,
Nawashauri nyie mliopoteza Dira na muelekeoUngewashauri wazazi wako waliopoteza fedha kukusomesha halafu unaishia kuwa chawa,Bora wangefuga nguruwe
mbona baba yako anavaa sare za Chadema?Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana na kuhamasika kujiunga na chadema.
Tulio kuwa CCM na kuweka Imani yetu kwa CCM kutokana na Sera zake na itikadi yake tulionekana Kana kwamba Ni vijana tuliopitwa na wakati, tulionekana Ni vijana wakizamani katika Zama mpya, Tulionekana Ni wazee katika umri wa ujana.
Nguo na magwanda ya Chadema yalivaliwa na vijana hao kwa mbwembwe Sana, Wana CCM wakawa wanaona aibu kuvaa sare na kupita nazo mitaani, Wana CCM waliona uoga kujitambusha UCCM wao katikati ya kundi maana ilikuwa unapata mashambulizi yasiyo ya kawaida.
Wana CCM wakawa Wana vaa tisheti ndani ya mashati ya mikono mirefu na kufunga vifungo Hadi shingoni utazani mtu anayetaka kujinyonga, kofia za chama zikawa hazivaliwi Sana maana wanachama waliogopa kuvuliwa kwa nguvu, kofia zikawa zinakunjwa na kufichwa, wanachama wakawa wanakwenda mikutanoni kupitia vichochoroni Hadi uwanjani na kila mtu kurudi kwa njia yake, Tukawa tunaishi utazani sisi ndio wapinzani na wapinzani ndio chama Tawala.
Asante CCM chama kikongwe chenye kila aina ya mbinu, chenye hadhina ya viongozi, chenye kujuwa historia yake,chenye kujuwa wapi kimetoka na wapi kimejikwaa na chenye kujisahihisha.kikaamua kurejea mezani kuangalia wapi kimejikwaa,wapi kiliwakosea watanzania,wapi kiliwaumiza watanzania,wapi kiliacha misingi yake,wapi hakikutenda haki,wapi kiliteleza,wapi kiliwapa kisogo wananchi, wakina Nani walikiangusha,walikifedhehesha,walikinyima kura,walikisaliti,walikipaka matope,waliokichafua,wakina Nani walikifanya kichukiwe na watanzania, Nini kilikifikisha hapo,mambo gani yalikipa doa chama chetu?
CCM ikajisahihisha na kurejea katika misingi yake, Misingi ya kuwatumikia watanzania wanyonge, misingi yakutokutekwa nyara na wachache, misingi ya kuwa chama kiongozi,misingi ya kutenda haki katika michakato yake ya ndani,misingi ya kutanguliza mbele Taifa letu, misingi ya kusikilizana na kushirikiana,misingi ya kuhakikisha kuwa chama kinakuwa Sauti ya wanyonge,misingi ya kuhakikisha chama kinakuwa masikio na mdomo wa watanzania wanyonge,Misingi ya kuwapa nafasi vijana, misingi ya kukiweka chama mikononi mwa wanachama,Misingi ya kusema kweli na kuondoa ufitini
Hatimaye watanzania wamerejesha matumaini ndani ya CCM, hatimaye watanzania wamesamehe yote yaliyopita, hatimaye watanzania wametambua mzazi Ni mzazi tu ,Hatimaye watanzania wameona namna CCM inavyowatumikia kwa upendo na bidii kubwa, wameona namna CCM na serikali yake inavyogusa maisha yao, hatimaye watanzania wameona namna serikali ya CCM inavyokesha ikifanya kazi, hatimaye wameona namna serikali ya CCM ilivyo sikivu na makini katika kuwatumikia.
Kibao kimegeuka, Sasa chadema haieleweki Wala haisikilizwi, haifuatiliwi Wala haipewi masikio na watanzania, chadema kwa Sasa haina ngome ya aina yoyote Ile, Haina ushawishi kwa watanzania, Haina mizizi yoyote Ile, imebaki imening'inia hewani tu, Haina matumaini ya aina yoyote maana hakuna wa kuipa matumaini.
Wanachama wake wachache waliobakia wanaogopa kuvaa hata Sare zake, wanaogopa hata kusema juu ya chama Chao, wanaogopa hata kutetea chama Chao maana hakuna wa kuwasikiliza na hawaelewi watetee Nini, wenye akili walishawakimibia,walishawapa mkono wa kwa heri, walishabeba akili zao na mikakati yao, walishaondoka na ajenda zao,kimebaki Ni chama kisicho na dira Wala muelekeo, kimebaki Ni chama chenye safu ya uongozi iliyojikatia Tamaa na isiyotoa matumaini hata kwa wanachama wake yenyewe na haina ushawishi kwa watanzania, Hakina viongozi wenye mvuto wa kihoja, hawana maono Wala misimamo ya aina yoyote Ile na hawaeleweki wanasimamia Nini na wanapigania nini.
Chadema kimebaki Ni chama ambacho hakina uwezo wa kuandaa hata ilani ya chama, hakina watu wenye kufanya utafiti wa kisera , Kimebaki Ni chama kilichojaa viongozi wenye mihemuko tu, Kwa heri Chadema wakati si wako Tena na haupo upande wako Tena, Karibuni CCM Tuijenge nchi yetu, Vijana wenye kujitambua wamesharejea ccm na Kuendelea na kazi ya kuijenga nchi yetu.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Hakuna mwenye Akili Timamu anayeweza kuvaa masare ya Chadema kwa Sasa , maana unakuwa unajiaibisha tu kwa kuonekana tapeli tapeli tu, si unaona pesa za michango zinavyotafunwa na viongozi wa chadema, Kama huamini tupe hesabu na kiasi kilichokusanywa kupitia join the chain, tuambie hela hizo zipo wapi kwa Sasa, Tuambie pesa za akina Sabodo Nani alizitafunambona baba yako anavaa sare za Chadema?
Kama kuongea ukweli ndio uchawa Basi acha niwe chawa tuUngewashauri wazazi wako waliopoteza fedha kukusomesha halafu unaishia kuwa chawa,Bora wangefuga nguruwe
Nataka unijibu Kama ulishaona Marekani wakishamaliza uchaguzi wao wale walioshindwa wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi chadema mnavyofanya hapa nyumbani,inakuwaje mwanaume kama kweli wewe ni rijali kabisa, unapoteza muda wako kuandika vijembe vya kipuuzi namna hii ilhali unajua vyama vingine vyote vya siasa vimezuia kufanya shughuli za siasa? Kichwa chako kiko sawa kweli wewe?
Mwalimu vipi umeshindwa kuona hoja zote hizo, nimezungumzia habari za Sera, ajenda,hoja ambazo chadema haina na kupelekea kukosa dira na muelekeo,Aya zote hizo chanzo ni nguo tuu...[emoji23] Bora nchi iwe gizani tuu
Mbona unakwepa kujibu hoja zingine, nimekuuliza uje hapa kutupa majibu ya sera mbovu za mazingira pamoja na gesi ya mtwara.Mwalimu vipi umeshindwa kuona hoja zote hizo, nimezungumzia habari za Sera, ajenda,hoja ambazo chadema haina na kupelekea kukosa dira na muelekeo,
umethibitisha nilichoandika. marekani inaingiaje kwa kile ulichoandika? Sikukosea, hauko sawa kichwani.Nataka unijibu Kama ulishaona Marekani wakishamaliza uchaguzi wao wale walioshindwa wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi chadema mnavyofanya hapa nyumbani,
Kwani nani kakwambia kuwa Tanzania Ni kisiwa? Hufahamu hata sheria au baadhi ya vitu huwa tunabeba kutoka kwa wenzetu pale tunapoona vinaweza kuleta manufaa na faida kwa Taifa letu? Au unafikiri Taifa letu lipo katika sayari yake ya kujitegemea?umethibitisha nilichoandika. marekani inaingiaje kwa kile ulichoandika? Sikukosea, hauko sawa kichwani.
Ya ngoswe muachie ngoswe..wewe komaa na ccm yako broNdugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana na kuhamasika kujiunga na chadema.