CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Waangalie wenzao Kenya.

Ruto alishikilia bomba kwa wale GenZ kwa kuwa hawakutaka kuwahusisha na wanasiasa.

Sasa hilo la hawa ni kwamba Mimi nikiingia Road ni wazi nishachagua kukaa upande wa Chadema against Dola,so litalonipata ni langu na chadema.
LAzima wajue kutofautisha maandamano ya wananchi na maandamano ya chama cha siasa
 
Wadini wakubwa nyie na huyo mwenzako big show, angekuwa Nyerere au Mkapa mngeongea tofauti, akili za stone age ndipo mlipofikia
Wadini wakubwa kivipi?

Sasa wewe unataka kuandamana umuondoe Samia kisa muislam au kisa umemchoka?

Kwahiyo kwa kuwa Mimi muislam nimezungumza hilo ndiyo useme ni mdini?

Yes,Mimi ni Mdini haswaaa...Tena ni Mujahideen,unasemaje sasa.
 

Sio chadema.

Watanzania wameuwawa

Ondoa miwani ya chadema.
 
Kwa tz hata hawawez kuangaika kuita majeshi mengine,maana hapa bongo polis anaua kabisa sio kama nchi zingine polis wanabembeleza
 
Mumeshaanza kupandisha mashetani. Saivi mumejijaza wazimu, akili zenu zimevurugwa!!! Hakuna cha maandamano kesho, na yakiweko natembea uchi hadi kwa mkeo.
Dah,Mkuu uchi hadi kwa mkewe Tena..

Unaenda kumpelekea moto mamsap wa kamanda??
 
Muislam akifa hakuna kuomboleza.
Hivi nyinyi mkifa mnaobolezana kwa maandamano?
😂 😂 😂

Chadema Tatizo lao kubwa ni uhafidhina tuh wa Mangi yule.

Kwani akimuachia Tundu lisu kiti kile ye anapungukiwa na nini?

Au kwa kuwa Tundu lisu siyo Mchaga.
 
Sio chadema.

Watanzania wameuwawa

Ondoa miwani ya chadema.
Tatizo maandamano haya hayajaandaliwa wala hayana baraka za wananchi, yameratibiwa na chadema tatizo lipo hapo ,yangeandaliwa na wananchi ingekuwa very different scenario
 

Demokrasia Ina maana tofauti CCM?

Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…