CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Waangalie wenzao Kenya.

Ruto alishikilia bomba kwa wale GenZ kwa kuwa hawakutaka kuwahusisha na wanasiasa.

Sasa hilo la hawa ni kwamba Mimi nikiingia Road ni wazi nishachagua kukaa upande wa Chadema against Dola,so litalonipata ni langu na chadema.
LAzima wajue kutofautisha maandamano ya wananchi na maandamano ya chama cha siasa
 
Wadini wakubwa nyie na huyo mwenzako big show, angekuwa Nyerere au Mkapa mngeongea tofauti, akili za stone age ndipo mlipofikia
Wadini wakubwa kivipi?

Sasa wewe unataka kuandamana umuondoe Samia kisa muislam au kisa umemchoka?

Kwahiyo kwa kuwa Mimi muislam nimezungumza hilo ndiyo useme ni mdini?

Yes,Mimi ni Mdini haswaaa...Tena ni Mujahideen,unasemaje sasa.
 
Mkuu kwahiyo tumuondoe raisi kisa chadema wanaandamana hawamtaki, sasa nikuulize kuna raisi wa nchi gani ambae wapinzani wake wanataka akae madarakani? Ndio maana tuna katiba inayotaka raisi apatikane kupitia kura za wengi
Tofauti na hapo ni uhuni tu na kuna nchi zinaweza kutolerate huo ujinga sio tanzania ndio maana unaona hadi leo nchi ina amani

Sio chadema.

Watanzania wameuwawa

Ondoa miwani ya chadema.
 
Kwa tz hata hawawez kuangaika kuita majeshi mengine,maana hapa bongo polis anaua kabisa sio kama nchi zingine polis wanabembeleza
 
Mumeshaanza kupandisha mashetani. Saivi mumejijaza wazimu, akili zenu zimevurugwa!!! Hakuna cha maandamano kesho, na yakiweko natembea uchi hadi kwa mkeo.
Dah,Mkuu uchi hadi kwa mkewe Tena..

Unaenda kumpelekea moto mamsap wa kamanda??
 
Muislam akifa hakuna kuomboleza.
Hivi nyinyi mkifa mnaobolezana kwa maandamano?
😂 😂 😂

Chadema Tatizo lao kubwa ni uhafidhina tuh wa Mangi yule.

Kwani akimuachia Tundu lisu kiti kile ye anapungukiwa na nini?

Au kwa kuwa Tundu lisu siyo Mchaga.
 
Sio chadema.

Watanzania wameuwawa

Ondoa miwani ya chadema.
Tatizo maandamano haya hayajaandaliwa wala hayana baraka za wananchi, yameratibiwa na chadema tatizo lipo hapo ,yangeandaliwa na wananchi ingekuwa very different scenario
 
najaribu kuwapa mawazo watu wa arusha ambapo ngome ya chadema ipo ukoo ipo hivi

jeshi la polisi likiona limezidiwa nguvu likaomba msaada JWTZ mmekwisha mtaita maji mma pata picha wakachukuliwa

1 oljoro pamoja na vijana wa jkt?
2 wakachukuliwa TMA pamoja na wanafunzi (offers cadet)
3 wakchukuliwa kv monduli
4 wakachukuliwa makuyuni pamoja na vinaja

wakimwagwa hapo arusha mmekwisha yaani mtatandikwa virungu betle zakutosha mpaka bangi ziwaishe nipo pale naangalia mchezo arusha kambi za jeshi zipo nyingi sana zimetapakaa

af watakao umia ni watu wa hali ya chini

Demokrasia Ina maana tofauti CCM?

Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida
 
Back
Top Bottom