CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

..wameshatoa ufafanuzi wa kauli ya " Samia Must Go. "

..tatizo la wahafidhina mmeshupaza shingo mnataka kuwapiga.

..Chadema wamesisitiza maandamano ni ya AMANI.
Maandamano Gani ya Amani ya kusema Rais wa Nchi aondoke?
 
Dah Mkuu...

Ngoja Nisome Tena kisha nitakurudia.
 
Mbowe angekuwa anamaanisha hilo angeanzia hizo harakati kwao Kilimanjaro.

Anataka kusimamisha shughuli za watu Dsm then kwao watu waendelee na mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku.
Hutakaa usikie Watu wa Kilimanjaro hasa Moshi mjini wanaandamana...!!!
 
Mbowe shule ndogo hivyo hana uelewa wa kitu gani anachokusudia kukifanya. Anataka kuwaponza vijana wa mijini na wamemshtukia.

Bodaboda wamesema hawatajihusisha na maandamano yao, hawataki kuvunjwa miguu halafu pesa zinaingizwa kwenye akaunti za Mbowe huko Ulaya.
 
NI kesho tu tutapata kujua mbivu na mbichi.
 
Siasa zake zimeshapitwa na wakati.

Toka ameanza kupambana na mkapa,kikwete,magufuli na Leo Samia bila shaka hawezi kuwa sawa.
 
Utasema CHADEMA tumeamua kuachia Mtu kama Mdude ndie awe Strategist wetu.

Mimi nitaenda kwenye Maandamano lakini nikiona Bango hata moja la "SAMIA MUST GO!" nageuza zangu na kurejea kwangu Temeke.
Mwamba hutaki tabu
 
Siasa zake zimeshapitwa na wakati.

Toka ameanza kupambana na mkapa,kikwete,magufuli na Leo Samia bila shaka hawezi kuwa sawa.
Wanadhani kila mtu anapenda hizi habari za uanaharakati. Zinawafaidisha wao na familia zao na ni kwa hasara ya maumivu ya wengi.

Mbowe ni fisadi kama hao wengine anaowanyooshea vidole, haipo tofauti kati yake na wao.
 
Wanadhani kila mtu anapenda hizi habari za uanaharakati. Zinawafaidisha wao na familia zao na ni kwa hasara ya maumivu ya wengi.

Mbowe ni fisadi kama hao wengine anaowanyooshea vidole, haipo tofauti kati yake na wao.
Yes,nakubali.

Ushahidi wa hilo wewe kumbuka tuh walivyomdhalilisha Lowasa marehem pale mwembe yanga kwa kumweka kwenye list of shame.

Kisha out of nowhere wanarudi na kumpa kijiti cha kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama chao.
 
Remember that you are life is much worth than fighting this battle on behalf of Mangi.
Ni kesho Mungu awalinde watu wake na akawape mkate wao wa kila siku. Mungu ibariki Tanzania(Tanganyika). Wanasababu acha tuwaone hiyo kesho.
 
Marais wote wa nchi hii waliowahi kutumikia nchi walikubali Kila aina ya vimbwanga kufanyiwa lakini hawakuwa tayari kusikia amani na usalama wa nchi ukivurugwa, Rais Samia anaendeleza Yale Yale ya watangulizi, nchi yetu imebarikiwa kuwa na amani na amani ndio tunu yetu.

Mataifa ya nje yanatamani kusikia sisi tunauana na kuumizana ili waweze kufanikiwa kwenye mambo, wanakutumia sana wewe Mbowe, Lissu na wenzako.

We Leo umesambaza clip Kila Kona ukiwataka wanachadema kesho wasirudi nyuma, wabebe maji utadhani unawapa hela ya kununulia maji.

Kesho vijana wa IGP watakufunza adabu wewe na wenzako, siku zote mlikuwa mnaleta utani na kuona mnaogopewa, mnapewa kiburi na Mange Kimambi cjui nani

Ila naamini kesho huna maandamano Wala Nini, kwa Mimi navyofahamu siasa zenu we umetaka kuleta attention TU na kuwapa kazi ya kufanya askari basi lakini huna cha maandamano Wala Nini.

Kama kweli kesho utaandamana na kuingia barabarani nitaamini kweli wewe mwanaume na nitakuja kwenu kupiga deki na kuosha vyombo.Usiku mwema
 
Wanasema ktk katiba maandamano ruhusa. Wewe unasemaje? Sio ruhusa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…