CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Hii slogan ya SAMIA MUST GO kuichanganya na Maandamano ya AMANI hata mimi imeniletea ukakasi sijui ni ushauri wa nani?!

I disagree. Samia can go out of office peacefully or forcibly.

Peacefully either via peaceful ballot box in ccm primaries or via peaceful ballot box in 2025 general elections or via peaceful prayers which will lift her to heaven or via peaceful demonstrations coupled with logical appeals which will persuade her to resign willingly.

Forcibly either via parliamentary impeachment or violence of some sort.

Chadema hawajasema kuwa SAMIA MUST GO Forcibly. Hivo hawana hatia.

Tatizo liko wapi?
 
Najaribu kuwapa mawazo watu wa Arusha ambapo ngome ya CHADEMA ipo ukoo ipo hivi

Jeshi la polisi likiona limezidiwa nguvu likaomba msaada JWTZ mmekwisha mtaita maji mma pata picha wakachukuliwa

1 Oljoro pamoja na vijana wa jkt?
2 Wakachukuliwa TMA pamoja na wanafunzi (offers cadet)
3 Wakchukuliwa kv monduli
4 Wakachukuliwa makuyuni pamoja na vinaja

Wakimwagwa hapo Arusha mmekwisha yaani mtatandikwa virungu betle zakutosha mpaka bangi ziwaishe nipo pale naangalia mchezo arusha kambi za jeshi zipo nyingi sana zimetapakaa

af watakao umia ni watu wa hali ya chini
 
Hii slogan ya "SAMIA MUST GO" kuichanganya na Maandamano ya AMANI hata mimi imeniletea ukakasi sijui ni ushauri wa nani?!

Labda ingekuwa SAMIA MUST GO 2025 THROUGH BALLOT! Ingefaa kama Hashtag.
Na hii ndo imeleta shida. Ikaonekana kama maandamano ni ya kumpindua raisi.
 
Mkuu kwahiyo tumuondoe raisi kisa chadema wanaandamana hawamtaki, sasa nikuulize kuna raisi wa nchi gani ambae wapinzani wake wanataka akae madarakani? Ndio maana tuna katiba inayotaka raisi apatikane kupitia kura za wengi
Tofauti na hapo ni uhuni tu na kuna nchi zinaweza kutolerate huo ujinga sio tanzania ndio maana unaona hadi leo nchi ina amani
 
Arusha tunasaka pesa. Hatutaki maandamano.
 
Maandamano ya amani Kwa maana wanataka aondoke huyu gaidi anayesababisha amani itoweke.Maana akitoka yeye na amani itapatikana ndiyo maana wameita must go
 
Mwdnyezi Mungu hamfichi mnafik.

Hiyo ndiyo lugha ya amani ya mbege na ganja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…