CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Daaaaa kazi sana strategies za huku na huku nani atashinda ?
 
Shida ni mtuhumiwa namba moja ni polisi kwa mujibu wa chadema raisi anaogopa nini kuunda tume ya kijaji mzizi huu wa fitina ukaisha?
Tatizo la chadema wanatuhumu mtu bila ushahidi usio achaa shaka!!
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya kuyazuia.

Hii ni kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania.

Mrema amedai kwamba, Maandalizi ya Maandamano hayo yanaendelea kama yalivyopangwa yakiwa na lengo la kupaza sauti Dunia nzima ili wote waliotekwa warejeshwe au kama wameuawa kama Ally Kibao basi mifupa yao ikabidhiwe kwa ndugu zao waizike kwa Heshima.

PIA SOMA
- Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

- News Alert: - Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Mungu baba Ibariki CHADEMA
 
Hao wanapigwa pini maporini tu kabla hawajafika Dar, wajitayarishie vyakula na toilet paper kwa wingi.

Kuchamba kwa majani kuna hatari zake. Mara umechota upupu. Utakoma ubishi.
 
niache kupambana ugal wangu na watoto. siasa hizi. kaz kwel kwel. kwangu ugali ni bora
 
Kwa hawa Watanzania sidhani kama watu wataandamana.

Maandamano yanapaswa kuwa non partisan kama Kenya
 
Back
Top Bottom