CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Lema kashatimkia Canada
si ndio mlisema anafaa kuwa wazir mkuu au rais kwamba watu wenye akili kama lema wapo wachache akili ndio kukimbia nyumba yako uku ugomvi umeuzisha wewe kwanini.ukimbie nyumba yako
 
Mbowe angekuwa anamaanisha hilo angeanzia hizo harakati kwao Kilimanjaro.

Anataka kusimamisha shughuli za watu Dsm then kwao watu waendelee na mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku.

Uhai wa binadamu hauna ukanda, jinsia, dini, kabila, umri, uzito, urefu, wala rangi.

Naona hujaelewa picha kubwa. Hoja kuu iko hivi:
  1. Those who reject migrants, generate refugees, traffic humans as commodities, trade in slaves as inanimate objects, kidnap, torture and assassinate the innocent others are similar in that: they all directly assault the instances of the basic good of human life.
  2. Any human act which attacks life, self-integration, health, knowledge of truth, rationality (reasonableness), justice, harmony, work, recreation, beauty, friendship, authenticity and any other known basic human good is inherently evil, since it introduces badness where there was none before.
  3. Thus, assaults on the basic good of human life are evil human acts.
  4. Evil acts of assaulting the basic good of human life bring an evil spiral of anger, aggressive and violent retaliations between the state and the citizens, and hence the rise of a curse of autocracy, as opposed to democracy, a situation which is clearly evidenced by the realities in all Arabic-Islamic states, simply because of their barbaric willingness to embrace the ideology of the prophetic sword.
  5. Thus, since republican constitutional democratic states, such as Tanzania, have a duty to denounce the culture of death at any cost, they should resist joining the Arab-Islamic states by refusing to embrace the curse of autocracy as opposed to democracy.
Period. Mengine yote ni maongezi baada ya habari.

Kama mtu haelewi hoja hii asome attached book: Democracy in the Arab World Explaining the deficit
1727082027690.png
 
Attachments

Mkuu kwahiyo tumuondoe raisi kisa chadema wanaandamana hawamtaki, sasa nikuulize kuna raisi wa nchi gani ambae wapinzani wake wanataka akae madarakani? Ndio maana tuna katiba inayotaka raisi apatikane kupitia kura za wengi
Tofauti na hapo ni uhuni tu na kuna nchi zinaweza kutolerate huo ujinga sio tanzania ndio maana unaona hadi leo nchi ina amani
Waangalie wenzao Kenya.

Ruto alishikilia bomba kwa wale GenZ kwa kuwa hawakutaka kuwahusisha na wanasiasa.

Sasa hilo la hawa ni kwamba Mimi nikiingia Road ni wazi nishachagua kukaa upande wa Chadema against Dola,so litalonipata ni langu na chadema.
 
najaribu kuwapa mawazo watu wa arusha ambapo ngome ya chadema ipo ukoo ipo hivi

jeshi la polisi likiona limezidiwa nguvu likaomba msaada JWTZ mmekwisha mtaita maji mma pata picha wakachukuliwa

1 oljoro pamoja na vijana wa jkt?
2 wakachukuliwa TMA pamoja na wanafunzi (offers cadet)
3 wakchukuliwa kv monduli
4 wakachukuliwa makuyuni pamoja na vinaja

wakimwagwa hapo arusha mmekwisha yaani mtatandikwa virungu betle zakutosha mpaka bangi ziwaishe nipo pale naangalia mchezo arusha kambi za jeshi zipo nyingi sana zimetapakaa

af watakao umia ni watu wa hali ya chini
Ni kosa kuchukua wanajeshi kuzibiti raia
 
Polisi wa tanzania hawajahi kushindwa na wahuni tulia kesho uone show show
 
Watu kama nyie hata wakati wa kupigania uhuru mlikuwepo, mabadiliko na haki ni muhimu kuliko shughuli fake za uchumi
chadema inataka kuleta machafuko na kuzua taharuki pamoja na kuleta adhari kiuchumi kwa vuguvugu la kisiasa hamvumiliki ngudu
 
Waangalie wenzao Kenya.

Ruto alishikilia bomba kwa wale GenZ kwa kuwa hawakutaka kuwahusisha na wanasiasa.

Sasa hilo la hawa ni kwamba Mimi nikiingia Road ni wazi nishachagua kukaa upande wa Chadema against Dola,so litalonipata ni langu na chadema.
Udini na ujinga ni ndugu zako
 
Back
Top Bottom