CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

Huyu mpe yule mruke,..........wazi wazi kabisa, ngoja tuone
 
Nendeni mkavunjwe miguu,halafu mnapelekwa polisi mnawekwa masaa 12,mpaka mkifika hospitali guu limeoza linakatwa
Nakuibia, mtapigwa kama Suleiman wa Iran na msafara wake. It is a matter of time Ngoja wakusanye ushahidi wa picha nyingi za sattelite
 
Tuishi kwa amani tupendane jameni....
nakumbusha tu maisha yetu wanadamu ni mafupi mno.....
 
Ukiwa mpuuzi utakuwa mpuuzi tu. Unakumbuka maneno ya mambo sasa baada ya mauji ya akwiline? Nani? Alimuua akwiline? Risasi ilipinda? Kwa upuuzi wengi munafikr wakifungwa ndiyo mwisho wa upinzani kumbe ndo mnaupalia moto
Dada hujui unacho ongea, je wakumbuka kauli ya Bashiru kuhusu democracy?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelekezo ya "mwamba" na kundi lake la "homeboysgroup" ni kuwa wengi hapo wafungwe ili kumuondolea upinzani wa nje huku tayari upinzani wa ndani ameshaudhibiti ...kuelekea uchaguzi mkuu , kwa madai kuwa atawaachia mwakani kwa msamaha ....mpango huo umepingwa vikali na wataalamu wa usalama ..and they are very bitter na hatujui kama kufikia muda huu hukumu imesomwa watakuwa wamefanikiwa kumuelewesha juu ya hatari ya anachotaka kufanya kwa amani ,usalama na siasa zetu za kimataifa ...inahofiwa taifa litaweza kuingia kwenye changamoto kubwa bila sababu ......
Tuombee Mungu Taifa letu sasa kuliko wakati wowote ule ...taifa liko njia panda .....na "system" inaelekea kuchoka na inaweza kutema muda wowote kwakua ushauri zao nyingi hazizingatiwi ...
 
Wamewekwa ndani bila sababu viongozi wa DINI MBAKA LEO kimya
Sembuse hao viongozi wa Chadema kama sheria ni msumeno ndani wanakaa na nchi inakuwa salama
Chezea ndevu sio serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…