Kwa kuwa hii kesi ni yakutengeneza na kulazimishiwa makosa ambayo hawana ni lazima watapatikana na hatia, lakini kwa hofu ya mabeberu hawatopewa adhabu nzito. Adhabu watakayo pewa itakuwa nyepesi lakini yenye lengo la kuwakosesha haki ya kugombea nafasi za kiuongozi katika uchaguzi ujao. Mi nasubiria kuona kituko kuhusu Dr mashinji, je watamuadhibu mwana ccm mwenzao ama ndie atakae kuwa muokozi kwa wengine wasipatikane na hatia?View attachment 1382089
View attachment 1382090
Kwa Mujibu wa Kalenda ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , tarehe 10 March ndio siku ya waliopewa kesi ya mauaji ya Akwilina kuhukumiwa , kwa maana ya kufungwa jela ama kuachiwa huru na kusafishwa dhidi ya tuhuma za kuundwa na wanadamu zenye malengo ya kisiasa.
Hivyo basi niwaombe Makamanda wote popote mlipo kusimama imara sana bila kutikisika kwa siku ya kesho na kila mwenye upenyo kujitahidi kufika Mahakamani mapema mno kuja kushuhudia dhuluma dhidi ya haki .
Mandela pamoja na kufungwa kwa miaka 27 kwenye gereza la kikatiri lakini mwisho wa siku alikuja kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa na kufutilia mbali ubaguzi wa rangi nchini mwake.
View attachment 1382102
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
And you should not try me for presidency, because I'm really bad to vagabonds!Mzee unafeli sana!
Basi mtu kama wewe hufai hata kua rais,utaumiza watu sana stupidly!
Naona human wisdom yako ni suspect aisee!
Maajabu ni kwa wewe kuniita mimi 'zuzu'.Mazuzu kama wewe hujui ICC inafanyaje kazi
Angefungwa kenyatta alisimama kabisa kizimbani na kesi ilitupwa
Hakuna mwanaccm anayeweza kufungwa kisiasa
Imeandikwa 'viongozi wa Chadema'. Mashinji sio mwanachama wa Chadema.Mbona Dr Mashinji simuoni kwenye hicho kipeperushi au yeye yuko Huru?!
Acha mahakama ifanye kazi yake.Hakuna mwanaccm anayeweza kufungwa kisiasa
That's it. Right on the money!Mkuu dynamic zimebadirika sana katika kipindi cha miezi 2.
Kuna Pompeo na Trump,World Bank,IMF,EU.Corona Virus
Kama mahakama itawafunga ni wazi Tanzania tutawekewa vikwazo vikubwa kuelekea uchaguzi mkuu.
Bora wasogeze tarehe ya hukumu hadi Oct 2025.
Tuna uzoefu wa kufungwa magoli na hao wakubwa wa magharibi enzi za Mwl.Nyerere in 1980,Marekani na mashirika wake ni balaa.
Unaidhalilisha Mahakama unaweza kuchukuliwa hatua kali.Hukumu inaandaliwa ikulu kisha itasomwa kwenye ile Kangaroo Court sasa nini itakuwa hatima ya Mashinji aliyeenda kuunga mkono juhudi.
Huyo atawapa hao wanao-dictate hiyo hukumu wakati mgumu sana maanake defection yake wameichagiza at a very wrong time. Let us wait and see.
Mmeshatoa maelekezo ya kufunga vitambaa vyeupe sasa kitete cha nini? Km mandera alifungwa miaka 27 sasa hii yakutuhamasisha maandamano nini maana yake? Wakati mama zetu walikuja dar kwa siku yawanawake duniani mmewabakiza huko wote ili kesho waandamane! Naomba mahakama isogeze mbele tarehe ya hukum ili wamama zetu warudi mikoani.View attachment 1382089
View attachment 1382090
Kwa Mujibu wa Kalenda ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , tarehe 10 March ndio siku ya waliopewa kesi ya mauaji ya Akwilina kuhukumiwa , kwa maana ya kufungwa jela ama kuachiwa huru na kusafishwa dhidi ya tuhuma za kuundwa na wanadamu zenye malengo ya kisiasa.
Hivyo basi niwaombe Makamanda wote popote mlipo kusimama imara sana bila kutikisika kwa siku ya kesho na kila mwenye upenyo kujitahidi kufika Mahakamani mapema mno kuja kushuhudia dhuluma dhidi ya haki .
Mandela pamoja na kufungwa kwa miaka 27 kwenye gereza la kikatiri lakini mwisho wa siku alikuja kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa na kufutilia mbali ubaguzi wa rangi nchini mwake.
View attachment 1382102
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Mkuu nakumbuka vizuri ubishi kati ya Mwl.Nyerere na IMFulichukua zaidi ya miaka 5,lakini cha moto tulikipata na pale tuliposalimu amri hawakutupokea haraka bali waliongeza vigezo hadi wakaridhika tulipoteza miaka 10 nyingine.Mfano hai ni Zimbabwe wanaendelea kumwekea vikwazo hadi mwaka kesho ikiwa atakuwa ametumika masharti. Licha ya Zimbabwe kufanya mageuzi.That's it. Right on the money!
Hapa kuna jambo sana!
Watu wasijifanye wanaendelea kuamini 'bravado' za kipuuzi zilizokuwepo hapo mwanzo.
Watatafuta njia tu ya kujinasua na hili, wasionekane wameshuka ngazi.
Wakitaka wafurumishwe haraka, ni kwa wao kuendeleza kukaza shingo wakati huu tukielekea kwenye uchaguzi mkuu.
Nadhani hii ndiyo inayoweza kuwa nafuu yetu kwa kuleta mabadiliko makubwa Tanzania.
HawatafungwaView attachment 1382089
View attachment 1382090
Kwa Mujibu wa Kalenda ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , tarehe 10 March ndio siku ya waliopewa kesi ya mauaji ya Akwilina kuhukumiwa , kwa maana ya kufungwa jela ama kuachiwa huru na kusafishwa dhidi ya tuhuma za kuundwa na wanadamu zenye malengo ya kisiasa.
Hivyo basi niwaombe Makamanda wote popote mlipo kusimama imara sana bila kutikisika kwa siku ya kesho na kila mwenye upenyo kujitahidi kufika Mahakamani mapema mno kuja kushuhudia dhuluma dhidi ya haki .
Mandela pamoja na kufungwa kwa miaka 27 kwenye gereza la kikatiri lakini mwisho wa siku alikuja kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa na kufutilia mbali ubaguzi wa rangi nchini mwake.
View attachment 1382102
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Mimi naiona hii katika mwonekano tofauti na huo uliouweka hapo wa miaka hiyo ya 80.Mkuu nakumbuka vizuri ubishi kati ya Mwl.Nyerere na IMFulichukua zaidi ya miaka 5,lakini cha moto tulikipata na pale tuliposalimu amri hawakutupokea haraka bali waliongeza vigezo hadi wakaridhika tulipoteza miaka 10 nyingine.Mfano hai ni Zimbabwe wanaendelea kumwekea vikwazo hadi mwaka kesho ikiwa atakuwa ametumika masharti. Licha ya Zimbabwe kufanya mageuzi.
Siku zote tumefanya hivyo , hii ni kwa sababu viongozi wote wa chadema ni wafungwa watarajiwa au maitiSwali mhimu Erythro, ni: je mnayo 'Plan B' na mmeiweka tayari kusimama ili chama kiendelee na viongozi wapya?
Nitashangaa kama mawazo haya hayakuwafikia akilini kuandaa mipango kama hiyo kungali mapema.
CHADEMA itaendelea kusimama kama chama bila uwepo wa viongozi wake hao, angalau hata kwa kipindi tu kifupi mkitafuta njia mbadala?
kupona kwa Kenyatta kusikupumbaze , mmeisha wekewa ban ya USA , hili jambo Uhuru hakufanyiwa kumbuka .Mazuzu kama wewe hujui ICC inafanyaje kazi
Angefungwa kenyatta alisimama kabisa kizimbani na kesi ilitupwa
CCM inalazimisha vita kwa udi na uvumbaKama watamfunga Mbowe kama wanavyotaka kufanya basi tutegemee machafuko makubwa uchaguzi ujao hatutakubali ushenzi, na upumbavu unaoendelea.
And you should not try me for presidency, because I'm really bad to vagabonds!
Kwani US ni peponi?kupona kwa Kenyatta kusikupumbaze , mmeisha wekewa ban ya USA , hili jambo Uhuru hakufanyiwa kumbuka .