CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

Sioni kama S.Mwalimu ataendelea kuwa kwenye Jahazi ya CDM.
 
Havai barakoa
 
hahahaaabado ana nia ya kwenda ikulu? asahau ataendelea kuwa chama cha upinzani milele
Tukazanie katiba mpya.
Tukiipata hiyo hatutahofu nani yupo ikulu. Tunajua atalazimika kufata matakwa ya wananchi, hilo ndilo lengo kuu la kupata katiba mpya iliyo bora.
 
Tatizo Mbowe kakiweka chama mfukoni, ninaona mfuko wake hautoshi, ampe mtu mwenye mfuko mkubwa .
 
Lumumba hali si swali, hadi muda huu tunaingia mitamboni walikuwa bado wanafuatilia nini mwamba kakisema !!
Lumumba kubwa kaka. Unayoisema weye umefika ukawauliza au ukawaona hali yao sio shwari. Au ndo mambo ya kushiba dona na kipande cha ngulu halafu unang'ata njiti.
 
Mungu na waungwana, shetani na wahuni! Ni fahari kuwapigania waungwana, ni aibu na fedheha kuwapigania ccm.

Mungu ibariki Chadema, tusaidie kuwachukua ccm wote waliobaki kama ulivyomchukua yule dikteta muuaji
expand...huyo tapeli na jizi la haaayi lilitakiwa kuwa jela kabisa wala si kutapeli tena watanzania nyambaf kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…