Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Mungu kamaliza kaziMkuu hili bato ni nyie na sisi Sir God anaingiaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu kamaliza kaziMkuu hili bato ni nyie na sisi Sir God anaingiaje??
Sasa unaonaje Mbowe akakaa pembeni ili aje mwingine wa kuitoa ccm madarakani
mna mchukua nani saaahv ccm kupeperusha bendera yenu?
kwani umaskini unaondolewaga na serikali?
Mkuu punguza ukali wa manenoShetani amekufa nchi imepata uhuru
Mm toyari nilishajidigitalize toka mwaka jana na ni mwanachama.haiPEOPLES POWERView attachment 1797175
NDUGU,mnajidanganya dira ya taifa lipi labda nikuulize yaaninchiiendeshwe na mtu kama mbowe ? hiyo itakuwa nchi au kituko tu?
Magu ndio alianza,kawapiga ambercut mkapoteana wote alafu baada ya kumaliza kazi akaenda kupumzika kuume kwa baba.Mungu kamaliza kazi
Hata mimi CCM niliyechukizwa na MATENDO ya yule jitu nimeunga juhudi kwa mama yetu kipenzi Samia. Toka CCM ilivyofumbia mambo ya PEA awamu ya nne na ushenzi wa awamu ya 5 sikuwahi kuunga mkono CCM tena. Kwa sasa nimerudi CCM kwa speed ya 5G . Ngoja niwahi kulipia malimbikizo ya kadi yangu.chadema ipi iliyounga juhudi kwa mama Samia yoite
Uuuwwiiii! Weeeeyu! Fujo za Arusha zimeanza tena. Uuuwiii!Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.
Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.
Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.
“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
JPM angeua chama. Tushukuru Mungu. Shukrani kwa SSH kukomboa vyama vyote nchiniChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.
Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.
Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.
“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
😂 😂 chama cha michango na uleviOle sabaya
Unapaliliwa na serikali.
Ole Sabaya atatufaa sana.
Umerudie karibu sanaHa ha ha.
Ahahahahahahahah! Sisi Wahaya tunamsemo, "...Ekyawe kijunda nokara!" Ahahahahahahah!Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.
Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.
Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.
“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
"opalesheni haki" kumekuchaChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha