Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #101
Karibu sana[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana[emoji38]
Kuna matajiri uchwara.tanzania hakuna matajiri?
makamanda kila la kheri tupo nyuma yenuChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.
Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.
Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.
“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
he is the trusted personNamwamini sana Mwamba Mbowe
chaguzi zote zote ccm imepata zaid ya aslimia 80 unasema angeua chama. subiri uine 2025 uone kama watapata hizo kuraJPM angeua chama. Tushukuru Mungu. Shukrani kwa SSH kukomboa vyama vyote nchini
una akili timamu ?chaguzi zote zote ccm imepata zaid ya aslimia 80 unasema angeua chama. subiri uine 2025 uone kama watapata hizo kura
Mwamba kama Mwamba yaaniChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.
Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.
Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.
“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
Sio mbaya marengo yeti ya kwanza ni kushindanisha hoja hilo ni la msingihahahaaabado ana nia ya kwenda ikulu? asahau ataendelea kuwa chama cha upinzani milele
Huyu jamaa unampa ushauri na kukuomba ni mwanamke aumwanaume isije kuwa ni Kimara sasa life imechange haletewi matumiziNdugu yangu,
Matusi yote hayo unayo poromosha yanatokana na uoga uliyokujaa utokanao na ushetani wenu.
Ninapiga magoti kuendelea kumwomba Mungu wetu aliehai ili akusamehe na kukujaza roho wa haki na kweli.
Utakaposhika njia mpya ilojaa upendo wa Mungu, utaweza kuwaongoza hata wenzio wenye tatizo kama ulivyokuwa, hali ambayo itakuwa msingi wa kujenga Taifa jipya lisilo na chuki kwa binadamu wengine.
AMEN
Aje na huku kanda ya ziwa tunamhitaji sana Kamanda,yuko kimya sanaChama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.
Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.
Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.
“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
Tuendelee kumuombea yeye na wa aina yake wapone.Huyu jamaa unampa ushauri na kukuomba ni mwanamke aumwanaume isije kuwa ni Kimara sasa life imechange haletewi matumizi
Kuna matajiri uchwara.
umeshindwa kujibu swali?
Mwamba kama Mwamba yaani
Chadema Kama chama cha upinzani mmesahau kuwasemea wananchi na kero zao mbalimbali Kama maji, ardhi, elimu, miundo mbinu, umeme, ajira, rushwa na ufisadi badala yake mmejikita kudai Mambo ambayo wananchi hawaoni Kama ni changamoto kubwa kwao.
Katiba, haki za binadamu na Uhuru wa habari siyo kero kubwa kwa watanzania waliyo wengi, hizo ni kero kwa watu wachache (wanasiasa, waandishi wa habari, wanasheria na NGOs zinazohusika na haki za binadamu).
Wananchi wa vijijini kwa mfano kero zao kubwa ni maji, barabara, umeme, pembejeo za kilimo, masoko ya mazao yao, huduma za Afya, miundo mbinu ya elimu n. K
Kama kweli mna nia ya kurejesha ushawishi kwa wananchi walio wengi, mikutano yenu ijikite kuongelea kero zinazowagusa wananchi walio wengi. Tatizo la Chadema ni kwamba mmejikita zaidi mtandaoni (Twitter na Jamii forum) ambako mnahisi uungwaji mkono mnaopata kule ndiyo picha halisi ya nchi nzima, mnasahau watumiaji wa mitandao hiyo hawazidi hata robo ya wapiga kura wote nchini, na wapiga kura wengi wapo vijijini.
Rudisheni Chadema ya kipindi cha Dr. Wilbroad Slaa iliyokuwa na mvuto kwa watanzania wa rika zote, Chadema iliyochallenge serikali katika maswala yanawagusa wananchi direct.
Washeni moto Uchagani, kwa nini munakimbilia Arusha??? Mukitoka huko munajidai kanda ya ziwa, mukigawa madaraka munarudi Moshi. NO!Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha