CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

Kisiasa kwa kweli Mbowe yuko vizuri sana. Pamoja na wengi kusema kuwa hana kisomo cha digrii.
 
Ccm wameshindwa kuondoa umasikini nchini zaidi ya miaka 60 sasa.
Mkuu na ameshidwa kuwaondoa wale maadui watatu wa maendeleo (maradhi, umaskini na ujinga) kama alivyotuaminisha for 60 years
 
Tuanze na kuwasikia kijani kwanza .
mimi sina chama. kwa unafiki huu na watu kukaa kimaslahi ndio nilishindwa. niliipenda chadema, nilipoona wamemchukua mamvi ambae ni fisadi na kumsafisha, nilikichuki/nakichukia hiki chama kuliko hata ccm. nashangaa wafuasi wa hiki chama wanashindwa hata kuwaza vitu vidogo kama hivi. anyway kuiongoza Tz ni rahisi sana kama alivyosema mzee kenyatta kumwambia nyerere
 
Isije kuwa mwenyewe umekujaa unao sema kuuchukia,mlikuwa nae akawahama,mkamsajili tena na Hadi leo mnaye,simlishindwa kuthibitisha madai ya ufisadi ndio sababu mmeona yuu safi Hadi mkamrejesha kwa gharama zote.ama sii nyie.
 
Je polisi wana tasrifa kwamba yule mvunja katiba alisha enda zake?
Unaweza ukasikia wakisema kila mbunge aende jimboni kwake.
 
Isije kuwa mwenyewe umekujaa unao sema kuuchukia,mlikuwa nae akawahama,mkamsajili tena na Hadi leo mnaye,simlishindwa kuthibitisha madai ya ufisadi ndio sababu mmeona yuu safi Hadi mkamrejesha kwa gharama zote.ama sii nyie.
hapa usiizungumzie ccm. sababu ccm mafisadi. nataka kujua kutoka kwenu nyinyi wana mageuzi, vipi mumchukue mtu mumsafishe alafu agombee urais. hahah TZ watu hovyo sana, alafu eti CDM wanajiita wana demokrasia. upuuzi mtupu. mnayoyaongea na kutenda tofauti, anayejitambua hamuwezi kumpata hata kidogo, si ccm wala cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…