CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

Sasa unaonaje Mbowe akakaa pembeni ili aje mwingine wa kuitoa ccm madarakani

Hata kama cdm haipo ccm itatoka tu, acha Mbowe kuwa mwenyekiti. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita ndio maana matumizi ya vyombo vya dola yanazidi kuongezeka, kwani hakina ushawishi tena.
 
mnajidanganya dira ya taifa lipi labda nikuulize yaaninchiiendeshwe na mtu kama mbowe ? hiyo itakuwa nchi au kituko tu?
NDUGU,
Kama kitu Mwendazake alifanikiwa ni kuchota akili za baadhi ya watz hasa huko lumumba. Mpaka hata wasomi wa huko wakawa waimba mapambio wake na mabingwa wa kutunga na kusambaza kashfa, kutesa, kutishia na kukatishia maisha ya wale ambao Jiwe alikuwa anawagwaya kwa hoja imara zenye nia ya kuleta maendeleo ya kweli kwa mtz ili kulinda matumbo yao.
Wengi wa aina yako wenye uwezo duni wa kufikiri wala kutafakari, wameishia kuwa makasuku.
Uzuri ni kuwa Mungu wa kweli tunaemwamini, aliamua kusitisha masaibu haya kwa kumuita.
Nina imani kuwa kwa kupitia matendo mema ya aliyechukua nafasi yake, mnakaribia kufumbuka macho na hatimae kutambua chaka mlilofikishwa.
Mungu ni mwema, tumekwishawasamehe. AMEN.
 
Kuna mtu utafufuka leo tusipoangalia. Wekeni jiwe kubwa kama lile la majambazi la Fatuma. Multiparty maana yake siyo kukandamiza vingine bali ni ushindani kidemokrasia. Tuache Wapinzani watunyooshe CCM maana bila wao tunasinzia
 
chadema ipi iliyounga juhudi kwa mama Samia yoite
Hata mimi CCM niliyechukizwa na MATENDO ya yule jitu nimeunga juhudi kwa mama yetu kipenzi Samia. Toka CCM ilivyofumbia mambo ya PEA awamu ya nne na ushenzi wa awamu ya 5 sikuwahi kuunga mkono CCM tena. Kwa sasa nimerudi CCM kwa speed ya 5G . Ngoja niwahi kulipia malimbikizo ya kadi yangu.
 
Uuuwwiiii! Weeeeyu! Fujo za Arusha zimeanza tena. Uuuwiii!
 
JPM angeua chama. Tushukuru Mungu. Shukrani kwa SSH kukomboa vyama vyote nchini
 
Ahahahahahahahah! Sisi Wahaya tunamsemo, "...Ekyawe kijunda nokara!" Ahahahahahahah!
 
"opalesheni haki" kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…