CHADEMA yazindua ofisi zenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani

baada ya miaka 25+ hìi ndio mnaita ofisi?
 
Huu ni ushindi mwingine wa chama dhidi ya propaganda chafu kutoka kwa vyama pinzani kuwa cdm haina ofisi.[emoji419][emoji375][emoji1548]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitovumilia upumbavu huu. Yani mnapiga picha nyumba yangu na kudai ni ofisi ya Chadema? Nawashitaki.
 
Kwa hiyo wajanja wa Lumumba wakipiga basi na chadema upigaji ni kwa kwenda mbele? Tofauti ya chadema na Lumumba itakuwa nini sasa?
Ebu kanawe miguu ulale maana naona umejawa na mihasira kibao
 
Mi nafikiri ungejibu hoja sio kukashfu wenzako bro.
Hakuna hoja hapo na wote ninao wajibu Nina wajua nini wanakuwa wamemaanisha mzee.

Hapa jukwaani tunajuana sana misimamo siyo wote wanauliza maswali ya msingi.

Wngine wanauliza kwa kejeli nawajua
 
CHADEMA kwenye suala la Ofisi mnashindwa akili hata na Mwijaku!
Sasa hilo jengo unaona ni design ya Ofisi?!
Mnapenda sana short cuts ambazo ni wrong cuts!

Kila jengo linajengwa kutokana na malengo na malengo hayafanani. Huwezi jenga ghorofa 50 halaf unaishi na mke na mtoto wkt gorofa mbili tu zingetosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…