CHADEMA, zoezi la kumzuia Rais Samia 2025 likipita na zoezi la katiba litasimama hadi 2035

Tunaye mpango yupo bushungwq tuna profesa kabudi
Bashungwa for what? Hebu tupe hata moja la kufanyia reference.
Huyo Kabudi wa majalalani ndio anaweza kuwa mfano bora? Kweli mmeishiwa! Huyo aliyewadanganya Watanzania kuhusu trilion 470 kisha anakiri kuwa alidanganya taifa?
CCM mhh!
 
Ishu sio uzee ila uho ni ukweli mkuu kwa akili ya kawaida wewe huoni kule upizani wote vichwa vibovu akili ziro
Hamna muafrika mwenye akili bro, vinginevyo tusingeuza bandari zetu leo hii.
 
Tatizo la Samia ni kuamini maendeleo yataletwa na Waarabu.

Maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe kupitia sera bora,uwazi,uwajibikaji na zaidi ya yote uzalendo wa kweli.

CCM ya Samia,Mpango au Mwigulu imekata pumzi haijui wananchi wanataka nini !.Hawajui vipaumbele vya taifa ni nini na kibaya zaidi wanalazimisha vitu ambavyo hata mjinga anafahamu tunaelekea kubaya.
Waarabu kuwekeza imekua kuamini maendeleo yataletwa na mwarabu!?..wakati wawekezaji wazungu hizo kauli hazikuwepo,utajileteaje maendeleo ikiwa huna uwezo wa kutumia rasilimali zako kwa ufanisi wa juu!?..kuchapa kazi,utachapa kazi wapi ikiwa bajeti yako tu hujitishelezi mpaka ukope na usaidiwe!?
 
Slaa na genge lao wana uwezo gani wa kumuweka raisi wao ikulu mkuu?

Kama alishindwa kumzuia Lowasa "raia wa kawaida" asigombee pale Chadema, atawezaje kumzuia mkuu wa nchi, mwenyekiti wa chama tawala na kipenzi cha watanzania wengi?

Slaa kwa sasa ni sawa na mgeni alietelekezwa njiapanda hajui wapi pa kuelekea.
Lowasa ni padre mstaafu...elewa unapoambiwa 'genge lake'
 
Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya Uchaguzi itawaingiza Ikulu na kuwapa wabunge Wengi sana kirahisi, hisia za wapinzani ni kuwa hawashindi chaguzi sababu ya Tume ya uchaguzi.

Likewise Kwa CCM pia wanajua ikija katiba mpya itakayotoa Uhuru mkubwa Kwa tume ya uchaguzi uwezekano wa kushindwa uchaguzi asubuhi mapema ni mkubwa sana.

Hivyo kinachotokea kila mara inapokuja "Shinikizo la katiba mpya" kila Mwenyekiti wa CCM huwa anataka zoezi hilo lifanyike second term ya utawala wake ili ku avoid risk ya kushindwa uchaguzi wakati akiwa madarakani, ndo maana JK alijaribu akiwa second term na Samia anaweka mazingira second term yake ndo zoezi lifanyike ili lolote litakalo tokea limkute "Next President"

Kingine makundi mengi yanayodai katiba mpya huwa yanadai Kwa "maslahi binafsi" na hayo maslahi yakipatatikana huwa yananyamaza kiimya kabisa hata kama katiba mpya hakuna, haya tuliona wakati wa Hayati Magufulivwale kina Slaa na wenzake wote hadi wakifika kusema katiba mpya sio "mahitaji" ya sasa simply sababu Rais alikuwa na "maslahi " nao.

Sasa hili zoezi linalo endelea la "zuia Samia 2025" likifanikiwa halafu itokee Rais mwingine kaja mfano "Philip Mpango" au Mwigulu Nchemba, haitawezekana kabisa kwenye fire term yake 2025-2030 aruhusu Ku take "Risk kubwa ya kuleta Katiba Mpya"ambayo inaweza leta "hatari " ya yeye kushindwa uchaguzi unaofata.

Most probably ataruhusu zoezi kuanzia mwaka 2035 ambapo itakuwa second term yake na hakuna risks kwake na wale wote kina Slaa watarudi kiimya kabisa watabaki wachache Sana kuzungumza kuhusu Katiba.

Kwa Sasa Kama tunataka katiba mpya mapema tuombe hili zoezi la zuia Samia 2025 lifeli otherwise tukubali zoezi litaanza 2035 iwapo kina Dr Slaa watafanikiwa "kumuweka mtu wao" mwingine kutoka CCM hapo Ikulu.

Tuombe uhai tuje tuseme nilikuwa siko sahihi.
Blood fucken
 
Walioweka watatoa pia, kila kitu kimepangwa …
 
Sa100 ni [emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
KATIBA mpya itapatikana 2026.

Kupatikana Kwa Katiba mpya, Si hisani Kutoka Kwa aliyepo, Bali muda umefika.

Kama miaka miwili anataka auze bandari zote,miaka kumi Si atauza Nchi nzima na watu wake!!!

HATOGOMBEA.
 
CDM , maridhiano na mtu anayeuza bandari za Nchi Yana faida Gani?

Mngeuliza wananchi kwanza!!!
 
Bila ya Katiba mpya vita ya wenyewe kwa wenyewe inanukia.
 
Siyo hofu,elewa maana ya hofu na kujua kawaida ya mambo
Ni hofu, ukiwa huna hofu huwezi kuwaza sijui kuna gemge la fulani linataka kuja kunitoa. Alfu yeye mwenyewe nina uhakika 100% hana hiyo hofu, hofu ipo kwa nyie wapambe
 
Back
Top Bottom