Muondoeni kwanza "malkia" mbowe
* Demokrasia ianzie mlangoni kwenu
* Acheni udikteta wa kuibaka demokrasia
* Nafasi ya mwenyekiti iende sasa kwa mtu mwingine
* wabunge viti maalum watoke na kusini pia
Wanachama tufafanuliwe haya kwanza
Mkipata hata kiti kimoja ktk ngazi yoyote nakunya mpaka ikulu
Nikishauri wewe bibi ukalale tu
Viva Magufuri, Shime CCM
[emoji23][emoji23][emoji23]Hana lolote
Alihamasisha watu tusijiandikishe Leo anataka chadema wapigiwe Kura.
Huu ni uwandawazimu wa sisi wapinzani,
Nimekumbuka tu mwaka 2010 jioni baafay ya upigaji Kura vijana walikuwa road wakitangaza wameshinda...huku vidoleni hawana alama ya wino.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Vipi wewe utapiga kura? Ulienda kujiandikisha?
It doesn't matter watajitokeza wangapi, kwasababu matokeo hayatokani na votes casted but the votes counted, na sikuzote, zisipotosha, zinatosheshwa, at the end of the day, the end result justifies the means and the winner takes it all and the loser standing small, watu wanahamasishwa wasijitokeze, CCM inapata ushindi wa kishindo wa asilimia 99.9%, halafu nyie ndio wa kwanza kulalamika kuwa the election was not free and fair.
P
P.
Hizo kura watapigiwa wapi?!........maana fomu hawaendi kuchukua.
Mbona kinanyimwa fomu?Hiki chama kilikufa kitambo ,wanaogopa hata kugombea wanaona aibu
Sio kila kitu ni mpaka ushahidi, mimi ni trend reader vizuri, na nimeishawasomea watu trends za matokeo ya uchaguzi tena sio huu tuu wa serikali za mitaa, hadi uchaguzi Mkuu wa 2020, matokeo ni haya...Una ushahidi wa unachokisema? Umesahau uliitwa bungeni?? Sasa hutaitwa tena!!
Una ushahidi wa unachokisema? Umesahau uliitwa bungeni?? Sasa hutaitwa tena!!
Unajidanganya,Watu wanayo rohoniHiki chama kilikufa kitambo ,wanaogopa hata kugombea wanaona aibu
Kwa kweli ni chama ambacho kimekomaa kidemokrasia ambacho hakuna kuchaguacgagua mwenyekiti labda afe ndiyo uchaguzi ufanyike.Mkuu leo unaonekana umekata tamaa wkt hauko ulingoni,kwanza huwa siamini kama kuna mtu alieandaliwa wkt mtu huwa anajiandaa lkn haya mengine huwa ni mbinu za kiushindi..laiti kama msingekuwa hamuwakatishi tamaa watu kwani kila mtu anaona na anajua kinachoendelea ktk nchi hiz labda awe mtoto.....
People should find any means to overthrow an existing party......✓
Because while you're thinking of taking over power the same way to the one having the power remaintaining the power
success is failure
chadema bado ipo?
Basi mtasubiri sana.Kutokushiriki uchaguzi ni hatuko tayari kushiriki uhuni wa kitoto. Kwanza tunaharamisha zoezi la kupiga kura, ili tutafute plan B ya umma utachukua hatua hata kama sio leo basi ni kesho.
Namshangaa mwanacdm yoyote anayehamasisha watu wakapige kura kwenye mechi iliyopangwa matokeo. Maamuzi tuliyofikia hatujayafikia kwa bahati mbaya, na hayawezi kubadilishwa na kiongozi yoyote, awe wa cdm, ccm au hata kiongozi wa dini.
Basi mtasubiri sana.
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Preamble!. "Ukiona mwenzako ananyolewa!" na "Ukiona kwa mwenzako kuna ungua!, kwako kunateketea!" Wale wote wenye matumaini na mategemeo kuwa kuna siku upinzani wa nchi hii, utakuja kushika dola!, hawa ni wishful thinkers na day dreamers, wanao ota ndoto za mchana, wasahau kabisa!. Lengo la...www.jamiiforums.com
Mazishi rasmi ni 2020,
Wataka maendeleo ya kweli wanalijua hili
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
P
Helikopta za kabla zilikuwa za dk.Slaa na wafadhili wake wazungu ambao baada ya kuondoka hazipo za dk slaa Wala za Lowasa na Mbowe hana wafadhili wenye helikopta za kumpa wawe wa ndani au njeHelicopters zilianza kutumika huko cdm toka Lowassa akiwa gamba, huenda umeanza kujua siasa kipindi cha jiwe. Kura pekee aliyoleta Lowassa cdm ni yake, mke wake na wapambe wachache aliotoka nao ccm. Aliikuta cdm ikiwa imokelea, na sasa kaicha ikiwa inapigwa vita na Magufuli kama kipaombele chake ili kuiua.
Kamnyee yuwo usituchafulie barabara zetuMkipata hata kiti kimoja ktk ngazi yoyote nakunya mpaka ikulu
Nikishauri wewe bibi ukalale tu
Viva Magufuri, Shime CCM
umeandika kama mwanafunzi wa drs la 5, ila daaah!Asante Mkuu Sky Eclat kwa uhamasishaji huu, kwa bahati nzuri sana, Watanzania wa sasa, wameisha amka kutoka, usingizini, sio watu tena wa kupelekwa pele kwa kufuata tuu mkumbo, wameishajua wanataka nini kwa maendeleo yao, na wanajua watamchagua nani anayeweza kuwaletea maendeleo.
Hata hivyo pamoja na kujua, ukweli kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na mshindi ameisha julikana, uchaguzi ni wa kukamilisha tuu taratibu, lakini bado uhamasishaji kama huu ni muhimu sana kwa sababu angalau mtaambulia ambulia tujikura tuchache, twa kuhalalisha kwa wafadhili wetu Tanzania tuna demokrasia, na kuwa ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki wa kidemokrasia, uliokuwa na ushindani wa kweli
Asante tena kwa uhamasishaji huu.
P