Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

Joined
Jun 3, 2024
Posts
11
Reaction score
13
Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo.

Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua.

KARIBUNI.
WHATSAPP: 0755325977

Attachments

  • 94b72f9ef22e4afb65c8be90172ce948.jpg
    145 KB · Views: 18
chumba na sebule kiwe na jiko ndani, kibaraza cha kupumzikia mfumo mzuri wa kukinga maji mvua ikinyesha

nataka pia iwe nzuri kiasi mvua ikinyesha maji yasiwe yanafika mlangoni moja kwa mojasawa

chumba na sebule kiwe na jiko ndani, kibaraza cha kupumzikia mfumo mzuri wa kukinga maji mvua ikinyesha

nataka pia iwe nzuri kiasi mvua ikinyesha maji yasiwe yanafika mlangoni moja kwa moja
Sawa mkuu.

Chumba cha kulala kimoja tu?
Store je?
Kibaraza cha jiko?
 
2 bedrooms
Dining
Kitchen
Store/Utility

Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo.

Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua.

KARIBUNI.
WHATSAPP: 0755325977
 
Attachments

  • FunPic_20240604_083156667.jpg
    462.7 KB · Views: 36

Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo.

Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua.

KARIBUNI.
WHATSAPP: 0755325977
 
Kwa mfano hyo nyumba hadi kukamilika inaweza chezea shingap kila kitu mm ni funguo tu unikabidhi
 
Hivi unaweza jenga nyumba ya vyumba 2 chini ya milioni moja shambani Bagamoyo? Na kama inawezekana, inafananaje hiyo nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…