Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Hivi vyombo vya ulinzi na usalama kazi yake nini haswa? kwanini watu wanaiba waziwazi hivi?
 
Halafu anavyolalamika utadhani wamemwibia babaake wa kambo!!
 
Akiwa na kenyatta anakua kama katupiwa upupu. Kwenye declaration ya mkutano na kenyatta chochote hatujaona kuhusu biashara ya madini kati ya nchi hizi mbili. Kinachoendelea ni biashara ya magendo ambapo tanzania inapoteza mabilioni kwa kutoroshwa madini ya tanzanite na mengine ya vito kenya.
 
Sasa nn kisichoeleweka hapo, eti anamaanisha nn, au unazuga huelewi, Ana maana utawala huu mpya unaopendwa mitandaoni, umelegea, ufisadi umeanza kurudi.
Aya umeelewa?
Ni lini ufisadi ulipata kuisha au kupungua nchi hii Mkuu?
Wako watu waliambiwa barabara inajengwa kwa ahirisho la sikukuu ya uhuru wakashangilia ilhali kuna JIBANGO KIUUBWA LINAONESHA NI MSAADA TOKA WATU WA JAPAN!!!
 
Nimekuelewa mkuu! Wengi walimsemanga JPM sababu ya maslah yao binafsi tu sio sababu za kitaifa.
 
Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana

Mwache JPM apumzike. Tuangalie mbele Nini cha kufanya. Kumtaja Huyu utafanya mada iwe juu yake. Let his soul Rest In Peace.
 
Mshenzi na mkabila Yule,alikuwa anachuma yeye na wasukuma wenzie tu,
Ukiacha Nyerere,Hakuna Raisi ambaye hakuwa mwizi,yote ni majizi hata JPM alizuia wengine wasiibe lakini yeye na maswaiba zake walikuwa majizi tu
 
Sasa nn kisichoeleweka hapo, eti anamaanisha nn, au unazuga huelewi, Ana maana utawala huu mpya unaopendwa mitandaoni, umelegea, ufisadi umeanza kurudi.
Aya umeelewa?
Ni lini ufisadi ulipata kuisha au kupungua nchi hii Mkuu?
Wako watu waliambiwa barabara inajengwa kwa ahirisho la sikukuu ya uhuru wakashangilia ilhali kuna JIBANGO KIUUBWA LINAONESHA NI MSAADA TOKA WATU WA JAPAN!!!
Lakini maza alisema anataka kuruhusu mzunguko kidogo, nadhani watu wakiimba hivi kidogo na sisi huku watu wachini tunapata kidogo
mkuu Chukua Chako angali Mapema
Kama hujui kitu kaa kimya sio kupotosha watu.
 
Nipeni connection niwe mwizi wa madin tu ... life tight mtaani wahuni wanapiga dili tu mwanzo mwisho....

Watoto wa maskini sijui tutatoboa lini majamaa yako bize kutengeneza maisha ya vizazi vyao vijavyo tu hayana muda kuibua watu wa huku chini
Ankol unapoambiwa kuiba madini unatakiwa uelewe sio kitu rahisi kama watu wanavyoandika hapa.Mathalan utoroshaji wa dhahabu means umepata dhahabu either kwa kuichenjua kupitia local methods kama amalgamation au kuozesha (leaching) then elution alafu hauipeleki kwenye masoko yalioainishwa kiserikali matokeo yake halmashauri husika kukosa mrabaha (7%) ...sasa ndugu hiko kiti hasa dhahabu ya elution sio rahis kuitorosha otherwise uchezeshe sana...Moja ya sekta serikali ikisimama imara nchi hii itanufaika sana ni sekta ya madini
 
Jamani Magufuli Alikuwa mtu makin Sana labda Kama angerithiwa na mtu mwenye mrengo wa ujamaa Kama POLEPOLE au BASHIRU ALI mtu yeyote Kama mama hawezi fanya Lolote Tena alikose mno kusema nchi anaiongoza kwa upole na kubembelezana Yaani Watanzania uwambie ' Jaman msiibe kuiba vibaya' hiii kweli Kila siku tunasema Biteko Hafai hamtuelewi, Biteko Yuko Bukombe mm nipo Mbogwe Hapa, madini yameingiliwa na matajiri haya asiogope kumtoa hyu Biteko mpuuzi
 
So chief ukifanikiwq kuchezesha mchongo ukatiki ndo inakua umetusua hivo sio...
NB sina b wala che sekta ya madini sijui kitu mkuu ila nikiskia watu wanatorosha madini mahusigi tu wanapiga hela ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…