The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Wee bush lawyer tuliaPropaganda.
Wee bush lawyer tuliaPropaganda.
Sisi tulipo nje ya nchi tunawafuatilia kwa karibu sana ndugu zetu.Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.
Sasa wewe lala upitwe!
Nimecheka sana na hii comment“Takings things for granted”
Sijawahi kudharau kitu, nyie ishini kwa mazoea
hapa gheto karibu makao makuu ya baba hidaya ( msubiria kifungo cha rushwa na ufisadi ) kumekuwa na heka heka na ving'ora vya kushato.. heka hekaa mwanzo mwisho..
Kizimukaz out
Kobaz tuliaAcha kutia watu taharuk, faida gani unapata ku post uongo.
Saa 8 usiku anapaa na ndege yakeHuyu jamaa si anaishi Malamba Mawili mbezi au unamsemea kule masaki?
Ni jirani yangu huku malamba hakuna msafara wala magari, zaidi kuna foleni za kawaida za vibajaji za kila sikuCdf kila siku ana tokea njia ya kimara nafahamu ana kaa maramba acheni ulongo
Msando huyo 😂😂Wee bush lawyer tulia
Ndio nataka kushangaa labda kama yupo kotaNi jirani yangu huku malamba hakuna msafara wala magari, zaidi kuna foleni za kawaida za vibajaji za kila siku
Timiza majukumu yako ya kiserikaliMsando huyo 😂😂
Kuwa makini sana. Utabamizwa chogo ilo.
Yapi wakati Tesha anakuja kunipindua?Timiza majukumu yako ya kiserikali
Huyu ndio CDF ?
Tataitu kalesaHakuna lolote. Watu mmejipa false hopes tu.
Ni mambo ya kwenye mtandao tu.
Wakubwa mnafaidi sana.