Chakii amefiwa na dada yake

Chakii amefiwa na dada yake

Poleni wafiwa Mungu awatie ktk wakati huu mgumu.
 
Pole sana Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe....
 
Mbele yeye nyuma sisi, apumzike kwa amani, pole sana ndugu yetu chakii tupo pamoja ktk hiki kipindi kigumu
 
pole kwa kupoteza,Mungu awatie nguvu
 
Mkuu chakii pole sana kwa msiba mkubwa uliokufika wa kufiwa na dada yako. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu wewe na wafiwa wengine katika kipindi hiki kigumu kwenu cha majonzi~AMEEN.

 
Last edited by a moderator:
Pole sana chakii Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu,kazi yake haina makosa.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana chakii
mungu awape nguvu kwenye hiki kipind kigumu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom