Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Before sambusa 2 was enough kwangu nikila sana 3. Ila juzi kati nimekula 9 and sikuwa full eti yaani ni huzuni[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]. Hizo za viazi sasa hivi nikizipata basi naweza kula deli zima
Nimecheka kifala 😂😂😂 9, unataka uote kitambi Kama pipa😂😂🤔
 
Before sambusa 2 was enough kwangu nikila sana 3. Ila juzi kati nimekula 9 and sikuwa full eti yaani ni huzuni[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]. Hizo za viazi sasa hivi nikizipata basi naweza kula deli zima
hii hatari naonaga tu kwa wanawake waliojifungua 😂
 
Nimecheka kifala [emoji23][emoji23][emoji23] 9, unataka uote kitambi Kama pipa[emoji23][emoji23][emoji848]
Siku hizi napata njaa sana nakula balaa, ila cha ajabu nazidi kupungua mwili ulaji wangu unamfaidisha mwingine[emoji3][emoji3]. Usiku bila kunywa chai au juice na bites saa 8 na saa 10 usiku sitoboi kabisa.
 
Back
Top Bottom