Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #261
Upate kiporo Cha wali kisichemshwe, maharage ya Moto na chai Ni 🔥🔥Wali maharage na pilipili mbuzi, karanga, chapati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upate kiporo Cha wali kisichemshwe, maharage ya Moto na chai Ni 🔥🔥Wali maharage na pilipili mbuzi, karanga, chapati.
Nimesahau na ukoko MweUpate kiporo Cha wali kisichemshwe, maharage ya Moto na chai Ni 🔥🔥
Hii ya hata ma bilionea wanakulaRoast maini chapati na maziwa ya moto safi
Mfipa wewe au siooMlenda, dagaa, mihogo ya kwenye magenge na Ile kitu wanaita chikanda.
Itakuwa majani ya kundeMajani ya maharage yanaliwa mkuu?
Ya maboga najua
Majani ya maboga huku Tabora tunayaita msusa acha kabisa kwa karanga yananoga sanaHa ha ha ha ha ha ha
Mimi ugali kwa majani ya maboga yaliyowekwa karanga au unga wa mbegu za maboga au majani ya maharage yaliyowekwa karanga sitaweza acha kula kabisa.
Hivyo Vibamaaa ni Vibambara Riki?kitimotoooo...vibamaaaa yani hivi vidude vinanifanya nakuwa kama mwehu nikivionaa
Hapana ,hiyo misosi ipo Nyanda za Juu Kusini yoteMfipa wewe au sioo
Upate kiporo Cha wali kisichemshwe, maharage ya Moto na chai aisee[emoji23][emoji23] ni [emoji91][emoji91]
ni vile kama vichapati vidogoo sema wanatumia ndizi kutengenezaa.Hivyo Vibamaaa ni Vibambara Riki?
Hii lugha imenihamisha akili hii..Ukawa unatia kidole, unatoa unalamba [emoji2960][emoji1787]
Dah😂😂, hiyo ya kitajiri Sana😂😂Hii ya hata ma bilionea wanakula
Utasikia mi unenipunjaa😂😂Hapo mkuu ni hatari maana ni kutafutana ubaya tu..[emoji23]
Panya mkuu🤔😂😂Ugali na panya wa kubanika
mtori na chapa rohoo 1Ugali na mlenda.
Mtori na chapati 1
Ugali na dagaa rosted ukimix na tubamia, kakiazi na vinyanya chungu.
Wali maharage na kachumbari