Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kabisa Dogo...

Uzipike na Nyama ya Salala,Nundu au Jembe....Ni utajilambaaaa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani dada hapo unakua roho kwatuuuu
 
Ndizi mbivu zilizoiva Sanaa,unakanda km ngano ila hapa unatumia unga wa sembe tu, inakuwa ngumu kiasi,then unatumia mikono kutengeneza km chapati ,unakaanga na mafuta
Aisee ni vitamuuu[emoji39][emoji28]
Unatumia unga wa muhogo, ndo vinatoka vizuri.
Vile unatumia bapa LA mkono kutengeneza umboo.

Kesho jioni ntapikaaa
 
Unatumia unga wa muhogo, ndo vinatoka vizuri.
Vile unatumia bapa LA mkono kutengeneza umboo.

Kesho jioni ntapikaaa
Duh na mi ngoja nitafute ndizi ...
Hahaa sie tulikuwa tunatumia sembe
Sema hii ya unga wa mihogo nitajaribu
 
Duh na mi ngoja nitafute ndizi ...
Hahaa sie tulikuwa tunatumia sembe
Sema hii ya unga wa mihogo nitajaribu
Mie ndo nakusikia wee hapa kuwa mnatumia unga wa Sembe, sisi kwetu tunatumia unga wa muhogo na ndizi Yale yanakua malaini, aina fulani manene mafupi, tunaita mandoroma.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata iringa na tunaita vibama hivyo hivyo [emoji28]
Ila kitambo sn sijui watt wa sikuhizi sijui vipi,hata hawajui haya mambo
Kwa kule kwetu bado wanapika mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23] huku mjini niliwahi pikaa, majirani waligombaniaa balaaaa.
 
Mie ndo nakusikia wee hapa kuwa mnatumia unga wa Sembe, sisi kwetu tunatumia unga wa muhogo na ndizi Yale yanakua malaini, aina fulani manene mafupi, tunaita mandoroma.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mi muhogo ndo nasikia kwako,nitajaribu kwakweli nahisi itakua tamuuu.
Yes ir pia tulikuwa tunatumia ndizi zozozte ilimradi ziwe zimeiva sana ,zimeorojeka😅😅
 
Hata mi muhogo ndo nasikia kwako,nitajaribu kwakweli nahisi itakua tamuuu.
Yes sir tunatumia ndizi zozozte ilimradi siwezi zimeiva sana ,zimeorojeka[emoji28][emoji28]
Basi sawa mama mtumishii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.

Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
Chapati aisee, nishazuiliwa kula sababu ya gluten ila huwa najiiba mara chache but baada ya nusu saa huwa nipo mahututi, siwezi kufanya chochote zaidi ya kulala tu
 
Back
Top Bottom