be unique
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,381
- 2,287
wali maharage ....... Aisee hapo acha lawama zije tu nionekane tajiri wa masharti.Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.
Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?