Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Shida wapishi wakiharibu😂😂, utalaani balaa
Bahati nzuri wife ameshanijua kuwa ni ugonjwa wangu! She is very good at it, niliwahi siku moja kumpeleka sehemu wanakaanga muhogo , nikamwambia onja then i want stuff like this !!!.
Tangu hapo nainjoi tu nyumbani kuna siku inakuwa menu yangu kabisa sebuleni
 
Let her know, she got a fan out here Buddha💪💪. Hope, maybe nikioa ntapata wa hivyoo
 
Ha ha ha ha ha ha ha

Mimi ugali kwa majani ya maboga yaliyowekwa karanga au unga wa mbegu za maboga au majani ya maharage yaliyowekwa karanga sitaweza acha kula kabisa.
😋
Home almost mara 4 Kwa wiki lazima hii menu huikosi, ukizingatia mbona tumepanda wenyewe,Kara ga pia tunazo basi hatari
 
Back
Top Bottom