Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

1.Ugali Dagaa....Na Chaini zilizowekwa Karanga....

2.Ndizi nyama...

3. Ugali na Utumbo uliochanganywa na mchicha....

4.Wali Maharage..

Uwueeeeeeh!!
No 2 ni must kwako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimemshangaa sana!

halafu ndio ukute ubilionea wenyewe nimeupatia kwenye biashara za mihogo, kisamvu na avocado..

ntatembea na mihogo ya kukaanga kwenye Prado yangu na kila atakayeniomba lift ntaomba na kipande cha muhogo wa kuchemsha anyonye
Hajui watu wako addicted,na vitu walivyokuwa navyo kwenye msoto
 
Back
Top Bottom