Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Ugali wa muhogo na migebuka haijalishi mikavu au mibichi,napenda sana,nimewahi kufululiza hadi midomo ilibabuka.
 
Labda,maana nilienda ziwa Tanganyika,nikafululiza kula ugali,wali na migebuka au mvolo wanaita,ulimi hadi ukachubuka,ila nilivyotoka kule,na samaki hao wakawa adimu,ulimi ulirudi kwenye hali yake nzuri.
Ndio sababu🤔😁😁
 
Ugenini nikilala au/ maana miye sifikii kwa watu ntalala guest hapo ntaenda kutembelea tuu. Pia km huyo mtu ni ndugu/ jamaa yangu lazima anipikie wali sisi kabila yetu ugali siyo chakula ya kumpa mgeni aliyekutembea tena kwa taarifa mkuu.
Dah man sheria kali mkuuu
 
*Makande
*Mahindi ya kuchoma(nikipita sehemu nikayaona roho haitulii)
*Mtindi
*Wali maharage(napenda wali hadi najishtukia sasa)
 
Back
Top Bottom