CEYLON
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 305
- 141
Mrenda wenye maharageWanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.
Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?