Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.

Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
Nikivitaja tu hapa tayari nitakua nimesha jitambulisha na watu mtajua kuwa kumbe mimi ndiye PakiJinja.
Ila mjue tu kwamba, mimi vyakula hivyo kamwe siwezi kuviacha.
 
Sasa mtu akujue kisa ugali dagaa mzee😁😂
Hamuaminiki nyie, nyuzi nyingine ni kama nyavu za kuvulia samaki. Mtu akijichanganya tu kanaswa.
Leo chakula, kesho kinywaji, keshokutwa aina ya dem, then mwanamuziki, aina ya muziki, maeneo ya kulia bata...hapo population ni circle vinazidi kupunguzwa, kumbe kuna mtu anafuatiliwa😃.
Ataulizwa hali ya hewa huko alipo, ataulizwa nyuzi joto, akija kustuka kitambo tu ameshazungukwa😃
 
Back
Top Bottom